Kuna watu wanakera sa hivi jamani watanzania tukoje?
Eti kuna watu hapa wanapenda salamu ile mbaya, mbaya zaidi wanataka wao ndo wasalimie hasa hasa wadada, eti unapishana na kimdada unakisalima...
Tangu nifike hapa Nairobi sasa yapata 1 wik na ushee hivi !
Weather ni always cold.
Ni weather ipelekeayo fulltym mtu upate hamu ya kupeanwa! (incase uwe si mwanamume shabbabbi ndy labda...
Asalaam aleykum, bwana yesu asifiwe, tumsifu yesu kristu, cheichei. Walimwengu mi nipo nawakumbuka sana mambo ndo yanaiva sahivi ndo mana sionekani ila ulinzi nimeweka kama kwa waliofanya...
Nilipanda hiace tokea dumila kwenda moro.Mara njiani tukampakia mama wa kimasai akiwa na mwanawe kichanga,alikosa seat hivyo alisimama.Ile hiace ikaendelea kuokota abiria njiani.Yule mama wa...
Lakini mimi nawaambia, Wapendeni
adui zenu, waombeeni wanaowaudhi, Ili mpate kuwa wana wa Baba yenu aliye mbinguni; maana yeye huwaangazia jua lake waovu na wema, huwanyeshea mvua wenye haki na...
Ni kawaida sana kuona wachezaji wanapomaliza kucheza mpira wanabadilishana jezi, ingekuwaje kama watu wangekuwa wanabadilishana chupi baada ya kusex, je wewe ungekuwa na chupi ngapi za...
Mwanafunzi alimuuliza mwl; Hivi
ukichanganya Omo na Foma zitatoa povu?
Mwl akajibu kwa hasira 'swali gani la kipuuzi
hilo, zitatoa kwasababu zote ni sabuni.
Mwanafunzi akasema: Wewe ndiyo una...
Fundi selemala alipewa oda ya kuchonga jeneza kwenye msiba ambao ulikuwa niwakusafirisha kwenda kuzika mkoani. Alijitahidi kuchonga jeneza faster lakini ikashindikana akakamilisha kazi usiku...
mpiga chabo mmoja aliwachungulia wapenzi fulani wakiwa chumbani, akashuhudia mwanamme akimnyoa mwanamke nywele za chini ya kitovu karibu na kei, jamaa alipomaliza kumnyoa akapiga bonge la kiss...
Jamaa mgeni kabisa kaajiriwa kwenye
kampuni;
SUPAVAIZA: Mheshimiwa unaitwa nani?
JAMAA: Naitwa John.
SUPAVAIZA: John nani? Unajua jambo ambalo
nimeligundua ni kuwa watu mkianza kuitana...
Hii ni kweli kabisa wengi wetu tunakesha club kisha asubuhi tunaenda kuuza sura kanisani.
Ufunuo 3:15-16 unasema
15 Nayajua matendo yako, ya kuwa hu baridi wala hu moto; ingekuwa heri kama...
Kama ni kuku kwa sababu wao ni chapchap utazuga kama hujawaona na utachomekea stori. Umekaa unazungumza na mkwe wako wa jinsia tofauti, ghafla wanatokea wanyama kama mbwa au bata wana du tartiiib...
platozoom akiwa katika pozi
Sublakheri wapenzi wasomaji wa JF, kwa wale ndugu zangu wakristo nasema Bwana Yesu asifiwe sana.
Haya tena leo mjengoni nipo na ndugu yetu, jamaa yetu na rafiki yetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.