JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
hawa ni watu wawili tofauti au wanafanana????? Na kama hawafanani naomba mwongozooo!!!!!! Nawasilisha.
1 Reactions
110 Replies
5K Views
Dah!huyu jamaa noma yaani nimetia timu maeneo nakuta wadau wanaangalia filamu aliyotafsiri!!ni zaidi ya vichekesho...
0 Reactions
29 Replies
19K Views
Kwa mimi wa Mitaa ya "Kwa Mfuga Mbwa" nawakumbuka watu kama "George best" "Santana" "Mwamba zege Bolingo" "kejeli" "Juma Nyeto" "Juma Mgogo" "Seikh Kione" "Sheikh Pazi" "Ally Bugo" na mitaa kama...
0 Reactions
0 Replies
761 Views
Nakumbuka maisha ya zamani, sasa Nimeanza kupita mjini kuulizia bei ya koroboi na mafuta ya taa kwani umeme huu haueleweki kabisa. Sijaona koroboi mjini Dar, labda nitoe nitengeneze mwenyewe na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau,nilianzisha jana mada humu entitled:Utoto Umezidi humu. Nimepitia comments,na wengi kweli wamenitukana wakihisi kuwa nilianzisha thread ile kuwatukana. Kwa kweli,NINAOMBA RADHI,kwani...
2 Reactions
66 Replies
3K Views
Kila unachotaka we google tu,nami si nika google "demu" wacha nisubiri nikitegemea katatokea kademu kazuuri ili kawe ka shemeji yenu,nikawa nachungulia C.P.U pengine kana jipamba afu ndo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
IN BOX SMS ZA MSICHANA Frank: I love u gal. Mpesa: You have received 15,000 kutoka kwa John Tesha. Bodaboda: Unajua nahisi km nataka nikutoe diner leo. 100: Umepokea muda wa maongezi wa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mods futeni hii thread nimejitahidi ku upload picha imekataa
0 Reactions
1 Replies
904 Views
Hello Pipo vipi siku ya leo kwenu, mmejiandaaje kuishighulikia wikiendi??????????
0 Reactions
6 Replies
778 Views
Madame B akili yangu imenata,nashindwa kujua a wala be kwa ajili yako.japokuwa sikujui lakini feelings nilizonazo juu yako kwa kweli nasubiri wakati na muda muafaka wa kukuonyesha dhahiri,Madame B...
0 Reactions
103 Replies
5K Views
Haya wale wadau wa Chama Cha Wala Bata Tanzagiza{CHAWABATA} mpo? Weekend ndo inaanza. Muda wa kuondoa stress za wiki nzima ndo umewadia. Kama kawaida ya wala bata basi ni vyema kupeana direction...
0 Reactions
41 Replies
3K Views
jamani turudi tuliko zoea. hakika wa mbili havai moja. mi nmekuja hapa kuangalia utaratibu wa kwenda zangu tabata lakini cha ajabu hii treni haionyesha dalili zozote za kuwashwa. na magari yote ya...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Wana JF last week nilikuwa natoka job na kusimama na sista du mmoja pale posta kituoni tukisubiri gari ya mbezi ya kimara, ilipokuja watu waligombea kinoma mie mwenyewe ilibidi nikae pembeni ili...
2 Reactions
40 Replies
7K Views
Tarehe na siku kama ya leo zaidi ya miongo minne iliyopita ndio siku nilizaliwa! Happy birthday to me!
3 Reactions
30 Replies
2K Views
habari za leo wakuu Nimemiss nyumbahii kwa siku kadhaa.hii ni baada ya kupata ajali ya gari maeneo ya oldonysambo wiki mbili zilizopita baada ya gari yangu kupasuka gurudumu la mbele na kuacha...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Niko serious wadau. Nimeamka leo nkahisi maumivu kama bruises kwny makalio juu(chini kidogo ya kiuno). Awali nlipuuzia nkisema labda ni mkanda na kukaa muda mrefu mana nlisafiri kwa basi toka...
1 Reactions
28 Replies
5K Views
Jamani hii namba inasomekaje ( 10001 )
0 Reactions
9 Replies
1K Views
KDDDA Company Box Tarime APLICATION OF JOB I am aply to my job of security guard to you boss in you company of KDDDA. I am complete to Sitandad 7 examination certificate in 1997. My...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Shemeji langu Madame B,risasi zako ulizopga hewani zinawapata Machinga. Mpaka sasa wanakimbizwa wodini kusubiri dripu za ngogwe...na Mdarasini. Shemeji langu Muongozo Tafadhari.
0 Reactions
0 Replies
528 Views
Jamani ukisikia kut**ba kazi ndio huku. Hii siku sio nzuri kwangu
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Back
Top Bottom