JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kuna wasichana wamejaliwa uzuri tuache utani. Kila ninaemuona mzuri anasema kwao Singida. Hallow lazima nikaoe singida mwakani.
0 Reactions
44 Replies
62K Views
Wanabodi nimenuniwa na Demi Nipeni maujanja ya kupata suluhu. Nifanyeje kabla sijaanza kuokota makopo
14 Reactions
101 Replies
3K Views
Hellow Hii ni jamii na jamii ni watu na tupo watu tofauti wenye tabia tofauti na sifa tofauti ni mtu gani wewe utamani apewe ban kabisa anakufurahisha na unamkubali sana mimi na anza na hawa...
11 Reactions
64 Replies
2K Views
Mimi nimepanga kwenye nyumba kubwa yenye vyumba vya uwani. Mimi nafanya biashara nina maduka ya nguo Kariakoo nimepaga bado sijamaliza ujenzi kwangu Madale. Usiku wa leo niliamka ghafla nilipoona...
36 Reactions
75 Replies
4K Views
Ndugu wana jamvi nisadieni kwenye hili, Mpenzi wangu kanizidi miaka mitatu, kwangu mimi sio tatizo ila walimwengu wamelibebea bango mpaka naogopa kukamilisha mpango wa uchumba.
1 Reactions
11 Replies
657 Views
Mbabe huyu hapa, anaitwa Collin diep. Nyoka mwenye maajabu mengi kuliko wote duniani. Leo fahamu maajabu 15 ya nyoka huyu, apatikana kwenye sehem za misitu, mabonde na mito. 1. Ana sumu inayoweza...
18 Reactions
183 Replies
8K Views
Leo naanza beti, kuuambia ulimwengu Feb 29 mwezi, mwaka huu mchungu Mwaka huu yamini, hakuna kushangilia. Polen wote mulozaliwa feb 29.mwaka huu hamna birthday yenu.afterall mchele ghali na...
0 Reactions
2 Replies
329 Views
Wajameni huu Uzi nikwa wale watu ambao wamewamiss wapendwa wao hii siku ya Leo. Nani unatamani hapo ulipo uwe naye karibu au uwe unachart naye saii. Mie sijammiss mtu labda hela
3 Reactions
156 Replies
3K Views
Hapo wanafunzi ndo ambapo huwa wana kubali kurogwa tu 😂dunia inaenda kasi sana apo baada ya kusikia embe moja 5000😂 .
0 Reactions
6 Replies
612 Views
Mwanamume lazima uwe na madini Mwanamume lazima uwe na hela Upuka kuwa tegemezi kwa mwanamke Wanaochapiwa ni tegemezi Hawagangamali
0 Reactions
5 Replies
521 Views
Ni :- i, Akili ii, Rangi iii, Malezi iv, Historia v, Ujinga
1 Reactions
10 Replies
445 Views
Matumizi ya hivi vikaragosi si madogo kwenye maandiko yetu mitandaoni.. Vikaragosi vya emoji hufupisha na kurahisisha mazungumzo Jaribu kuweka zako tatu uzipendazo tuone kama tutaweza kuelewana...
4 Reactions
214 Replies
14K Views
John 15:4, "Abide in me, and I in you."
0 Reactions
0 Replies
209 Views
Aisee. Ukiwa na Tatoo. Ukiweka kipini puani. Ukija ghetto ukavua mwenyewe. Harufu kwa papuchu. Demu msumbufu anataka kubembelezwa. Hizi ndo sababu kuu zinazoweza nifanya nihairishe game.
6 Reactions
21 Replies
1K Views
Habari. Kwa mtazamo wangu naona kabisa neno "MKUU" limepitwa na wakati hapa JamiiForums. Ninapendekeza iundwe Tume mpya kwa ajili ya kupata mchakato wa jjna mpya. Kwanini nasema hivi, wakati...
9 Reactions
51 Replies
1K Views
Nimrudishie nini Bwana kwa ukarimu wake wote alionitendea? Nitakipokea kikombe cha wokovu na kuitangaza amani ya Bwana kwa neno lake, Zaburi 116:12. Mungu wangu u mwaminifu sana kwangu hata sasa...
13 Reactions
11 Replies
678 Views
Wakinadada mkija bar hasa ya kwangu iko Msamvu, msitumie toilet paper, tumieni flash water ya kupump na mkono!
4 Reactions
16 Replies
679 Views
Mimi naanza na hawa wafuatao: Waziri Angella Kairuki na Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Jokate Mwogelo Marehemu Ephraim Kibonde na Mshambuliaji wa Simba SC Meddie Kagere Rais Dkt. Magufuli wa...
3 Reactions
77 Replies
7K Views
Binadamu mahitaji yake ya kila siku ni machache. Chakula Kulala sehemu Safi /makazi
1 Reactions
13 Replies
606 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…