Huyu mtoto leo namuhitaji, please atakayenionea maana kanaonekana kana pozi sana. Nimegundua kumbe babu aliniachia bilioni thelathini kule uswisi menzi njoo tuzitafune. PESA NINAYO UKINICHUNA...
Wanafunzi wa tanzania wametishia kuandamana baada ya kukoseshwa mitihani, wakati majibu yote waliyanukuu kutoka kwa viongozi wao wa Nchi<BR>
1.swali: kwanini tz ni maskin
jibu: sijui<BR
2.swali...
Jirani yangu aliniambia,
"Samahani nahitaji mke wa mtu leo usiku,
nyumbani kwangu kuna panya wananisumbua sana,
maana nasikia MKE WA MTU NI SUMU."
Ungekuwa wewe ungemjibu vipi huyu jirani yangu?
Mke: Mme wangu mbona siku hizi huninunulii zawadi km ilivyokuwa kabla hujanioa??
Mme: huh!! We uliona wapi mvuvi anamlisha chambo samaki ambae kashamvua??
Gilberto Araujo
Mwanaume aliyehudhuria mazishi yake alisababisha kizaa zaa nchini Brazili na kupelekea baadhi ya ndugu zake kuzimia na wengine kumkimbia kwa hofu.
Muosha magari katika mji wa...
MUME: Mke wangu, niwe mkweli pamoja na kuwa kwa sasa tuna watoto sita mimi bado nakupenda sana. Na hakuna kitu kitakachoweza kunifanya niache kukupenda, I love you honey. Nina swali moja tu, huyu...
Recently, Rihanna has been admitted to hospital after feeling dizzy, medical diagnosis proved that she is now pregnant for one month and Chris is responsible for her pregnancy. Rihanna Shaban...
Dear IT Support, Last year I upgraded from Boyfriend 5.0 to Husband 1.0 and noticed a slow down in the overall performance, particularly in the flower, gifts and jewellery applications that had...
1) Unaweza kutoa gesi yenye uwezo wa kutengeneza bomu la nyuklia kwa KUJAMBA mfululizo kwa miaka 6 na miezi 9
2) Hakuna Pundamilia anayefanana mistari na wenzake?
3) DREAMT ndiyo neno pekee...
Jamani atakayeonana na huyu mzee wetu naomba amfikishie huu ujumbe tangu atuache kilimanjaro iko kenya,nyasa iko malawi,tanzanite iko kenya,tanesco inamilikiwa na low-a-sa,shekh ponda ni...
INAUMA SANA!
"Kumtakia Hapibethidei(sms) Umpendae,unasubiri Jibu Husilipate"
INAUMA SANA!
"Kujikomba Kwa Fulani Ili Ajilengeshe Lakin Akawa Hana Tym Nawe"
INAUMA SANA!
"Kumtumia Vocha...
Samahani sana kwa USUMBUFU, Najua na ninafahamu
kwamba wewe unapenda sana MITUMBA kama MIMI,
Sasa kuna jamaa anauza MISWAKI USED,
ni mizuri haiishi haraka, vipi nikuchukulie MINGAPI?:flock:
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.