JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Yaani hamwezi amini jinsi ambavyo imenuna leo tangu asubuhi umeme ulipokatika na sasa ndio kwanza umerudi dakika hii. Jamani wanajamvi mu wazima? Kama nanyi limewapata hili poleni! Lakini kubwa...
0 Reactions
4 Replies
735 Views
Ndugu wana Jamii Forum nashindwa kupata jibu sahihi ni nini kazi ya "BIKINI" a.k.a chupi ya kikamba
0 Reactions
10 Replies
9K Views
Je wanawake ambao awajatulia katika suala la mapenzi unawaitaje, taja majina unavyoweza ,atakayetaja majina mengi atakuwa mshindi
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kanuni 10,za kumteka mwanamke 1.Msifu km yeye ni mzur 2.Changia hoja zke wakat wa maongez 3.Weka utani
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wapendwa wana chit-chat mzee mzima naja kwenu kuwaomba kura mumpigie huyu mrembo Arabela , naanza na wewe C6 , charminglady kaa pembeni lea mwanetu huyo tumboni, mambo ya 'CAT WALK' jukwaani na...
3 Reactions
58 Replies
3K Views
Wadau nimevutiwa na madam Spika leo kapendeza alivyosuka nywele,Pengine atapunguza hata unoko hadi nywele zifumuke.Congrats madam you look good.
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Habhar yenu bhana! Utakumbuka kila mwezi huwa tunakuwa na mchakato wa kumsaka miss Chitchat.ukilejea mtililiko tayari tuna mamiss watatu kama ifuatavyo:- 1. Mwezi Aug tunaye miss cacico 2...
7 Reactions
308 Replies
14K Views
Wadau, Kuna tetesi eti Dereva wa Treni inayofanya ruti ya Ubungo~Posta jana alijisahau akadhani ni inaenda Kigoma hivyo akawapeleka huko. Kwa sasa yupo Kigoma na abiria wake wanajiandaa kurudi...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Eti waungwana naskia treni la mwakyembe dar leo limekosa breki limepitiliza mpaka Makambako Njombe huko, je ni kweli??
0 Reactions
0 Replies
701 Views
Kimsingi lara1 nje na vigezo alivyo navyo vya kuwa miss jf chit chat, ana extra ordinary capacity katika kutoa ufafanuzi na ushauri wa maswala mbalimbali yanayoikumba jf, fuatilia mchango wake...
0 Reactions
0 Replies
854 Views
KWELI FULL BALANSI AFRIKA > WAZULUMIANE NA KUONEANA, WAPE VITA WAUWANA WENYEWE KWA WENYEWE ULAYA > WAPUNGUZE PESA ZA KUTUMIA ILI WA HAHE NA WASIJUE PA KWENDA AUSTRALIA > WAPE MOTO NA...
0 Reactions
1 Replies
580 Views
He! Kumbe leo sijakusalimia, Bwana Yesu acfiwe, How are u, Hujambo, ...Mzima, Shikamo, Cheichei, Ulimhola, Ongamshi, Mwadela, Bonjour, Shimbonyi, Kamwene, Urewedi, Waongera, Uramkaze, Twalinu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Leo ni Sikukuu ya Watu wasiotumia Condoms duniani, Wish kwa wote ambao unajua hawatumii condoms.. Salam zangu ziwaendee Bujibuji , Sikonge ,Preta Kaunga...
5 Reactions
55 Replies
41K Views
MCHUNGAJI: Bwana asifiweeeee! ......WAUMINI: Ameeeeeeeeeni! MCHUNGAJI: Tafadhalini washarika sasa tuchukue iPad, tablet PC, simu na kindle zetu ili tufungue 1 Wakorintho 13:13. Pia washeni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
sijawahi kutoswa,ila mi nimtosaji alafu cha kushangaza mie n wakawaidaaaaaa.. siri ya mafanikio n kujtambua,kujitamin na kujiamin
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Husband wanted to call the hospital to ask about his pregnant wife, but accidentally called the cricket stadium. He asks, How's the situation? He was shocked & nearly died on hearing...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
A man and his youngest son are having a Conversation when the son asked.: Son: "Dad,whats the difference between ''potential'' and ''reality''? Dad turns to wife: would u sleep with George W...
0 Reactions
2 Replies
905 Views
Boy : i love u . Girl : i hate u . Boy :u sure ? Girl :am sure . Boy :waiter ,bill for me alone...... Girl : hey... hey... I LOVE YOU ! ! !
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Eti chupi kazi yake nini? Ukivaa haijulikani, usipovaa haijulikani, ikionekana unaambiwa umekaa uchi, ukikaa uchi utasikia hujavaa chupi, sasa hapo chupi ya nini?jamani kama sio kuoneana??
1 Reactions
12 Replies
6K Views
Maduu wa Dar es salaam nawakubali ila linapokuja suala la ung'eng'e watoto wa Kiarusha wako vizuri!katika kila maduu kumi wa kiarusha nane kimombo kimelala wakati Dar katika maduu kumi wawili ndo...
6 Reactions
61 Replies
6K Views
Back
Top Bottom