Mimi binafsi lazima ntaingia mtaani kuandamana iwapo serikali itaendelea na wazo lake la fao la mifuko ya hifadhi ya jamii kutotoa mpaka nifike miaka 55 wakati mm mwenyewe sina mpango huo??
Sent...
Mwe, mwenzenu mie sikuwapo mahala hapa kwa miezi kadhaa, leo kuingia tu humu Chirt Chat nakutana na watu wapya kibaao, hata siwafahamu mie, basi kama isingekuwa kumuona Bishanga, wallaahi...
Peopleeeeeeeeeesss Waukweeeeeeeeee!!!!!!!
Kama kawa kama dawa TUMETISHAAAAAAAAAAAA!!!!! Sasa ni KUSEAL THE DEAL TUUUUUU!!!!!!!!!! PATI LA KUSHEREKEA UBINGWA MSIPIMEEEEEEEEE!!!!!!!!!!
THE DREAM...
Huu usafiri wa daladala ni too much usumbufu, yaani mtu unakaa kwenye siti halafu yule aliyesimama anakuletea makalio yake karibu na pua kwa kweli inakera sana
Jamaa mmoja alikuwa gesti na demu mmoja,,asubuhi kulipopambazuka kukatokea ugomvi mkubwa baina yao.Mazungumzo yalikuwa hivi:
Demu:Naomba hela yangu
Jamaa:Hela ya nini?
Demu:Unadhani umepata...
Katika uzi wenye jina 'Wanawake muwe na aibu' wa Jamii01,nilitamka maneno ambayo si ya kawaida kwa umri wangu. Ukaninukuu na kuniuliza swali la kuchoma sana moyo wangu.Ukasema:uuuuuuuwhi,ni wewe...
Daddy ninaomba hela mwalimu katuambia tununue kitabu cha Twitter, halafu daddy pia kuna kile kingine cha Facebook kinahitajika kwa ajili ya maswali na majibu.....
Halafu daddy nilisahau kuna...
sharobaro alikuwa chumbani na changu,changu akavua nguo zote na kuzitundika kabatini,sharobaro akastuka kuona changu yule ameweka bastola kitandani..akauliza..hii nayo ya nn??changu akajibu...
Jamani ninauza pilipili,kwa wahindi nitawauzia kwa bei nafuu kidogo ila polisi hasa siku ya leo nitawauzia bei kubwa,najua leo ijumaa watakuwa na uhitaji mkubwa.
Mwanamke zuzu alikuwa na mchumba wake zuzu kama yeye, lakini mwishowe uhusiano ulivunjika.
Sasa huyo jamaa alikuwa akimsumbua sana kumpigia na kumtumia sms na yule mwanamke kwa simu kila siku...
Wakubwa zangu shikamoooni (Wajameni mnipe kura i greet you like every day!)
Peopleeeeeeeeeeeeeeesssssssss!!!!!!!! Niajeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!
My peoples people wa ukweeeeeee, people wa...
teja aligombana na babaake.akatoka nje akiwa amekasirika akaenda moja kwa moja hadi kwenye geti la makaburi afu akabandika picha ya babaake chini ya picha akaandika "COMING SOON"
Leo wakati natoka job narudi hm, njian nilikutana na kijana kama vile katoka kuvuta ile kitu(bange), aliponiona tu akasimama na kuanza kucheka sana baadaye akanyooshea kidole uelekeo wa mdomoni...
Wapendwa wana chitchat naombeni kura zenu za nusu fainali mpaka fainali. Jamani tafadhalini sana tena sana nichagueni ili niwe miss chitchat wenu. Naombeni ushirikiano wenu
Wakuu habari zenu.
Wenzangu nanyi mmeipata habari hii ya kuwa "MBINGUNI ni KIGAMBONI. HOUSE GIRL NI HALALI YAKO ZAANAE.Wababa mnapaswa kuwa na WAKE ZAIDI YA 7, WANAWAKE mlio katika ndoa WAPENI...
Niwatake radhi kwa kuchelewa.
yafuatayo ni majina ya washiriki
KUNDI A
1. Ciello
2. FP
3. charminglady
4. pretty n
5. snowite
KUNDI B
1. Arabela
2. Natalia
3. CUTE...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.