Kama kawa kama dawa, KUBWA LA MAADUI IS BACK!!!!!!!!! Hahahahaaaaa! U STERING CHUKUENI NYIE!!!!! Peace n Love wajameniii, wahiriki woooote hongereni, it was fun kushiriki na nyie!!!!!!!! Kama...
Kwa mujibu wa katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa wana Chit chat.
Ibala ya 6, Kifungu cha 1, Jamuhuri hii lazima iwe na Rais, lakini hakuwepo kwa muda sasa.
Ni muhimu sasa tufanye uchaguzi. Wagombea...
Mama mmoja alitoa ofa ya benz kwa atakayemtomba bao 10 bila kupumzika. Watu wakajitokeza, kila 1 aliishia bao 5.Akaja mzee wa miaka 80 akatomba bao 16 akapewa benz, wakaamua wamfuate nyuma labda...
Ukiwa abroad sehemu za kuvukia barabara kwa miguu wanaziita pedestrian cross,huku bongo wameziita zebra cross,hii ni dharau tosha wanatufananisha na wanyama especially punda milia aaarggghh...
Ndugu zangu nimekutana na jamaa yangu tuliyepotezana kwa muda toka tuachane darasa la saba miaka mingi iliyopita, nimemuona leo kawa bosi anaendeshwa na STK fulani ila nikamkumbusha akafute chata...
Nina dada rafiki yangu...kiujumla ni mfanyakazi mwenzangu,tumetokea kuwa marafiki sana,tunatembeleana na tunasaidiana sana. Yeye ana mtoto mdogo wa kike,mda mwingi anaishi na house girl...
Wahenga wanadai kwamba, huwezi kupeleka kesi ya nyani mahakamani na hakimu akawa muheshimiwa ngedere. Naommba maelezo ya kina kuhusu msemo huo. ina maana ngedere hawezi kusikiliza vizuri shitaka...
Huyu manzi wa JF niliyempata ana wivu ajabu mpaka najilaumu kwa nini nilimfahamu. Kanipiga mkwara nisiingie Chit Chat kwa kuwa eti kuna wajanja wengi watanifundisha uhuni. Na pia kuna warembo...
Wapendwa,Nimeona nichukue nafasi hii,kuwataarifu kwamba natoka nje ya JIJI kidogo!!Natoka kwenye JIJI nakwenda JIJI lingine(DAR)!!
Filipo my hubby,be good,I will miss you sana Erickb52 Arushaone...
mi simuamini Ruhazwe JR, nakata rufaa ya matokeo ya ms. chitchat. charminglady alistahili kutwaa taji ila bwana Lundenga kwa maslahi yake binafsi kaamua kumpa mtu mwingine,
iundwe tume...
Nashukuru wana chit chat wote kwa kura yenu nusu fainal.nawaomba tujumuike kwenye hii awamu ya mwisho ili tuweze kushinda, mamito@snowhite Madame B Kipipi...
Imekuwa si jambo la kushtua wala kustaajabisha pale inaposikika mtu anasema kuwa anachukia kitu flani katika mwili wake. Wapo wanaochukia matiti yao, wapo wanaochukia vichogo vyao, wapo...
Kwanza niashukuru wote waliojitokeza kupiga kura,walioshiriki,na hasa wale walio piga kura kwa kuzingatia mashart kwa nia njema hadi kumaliza zoezi hili
utakumbuka tulikua na mchakato wa...
jamaa alisafiri kwenda marekani kufika tu akamtumia msg mkewe is very wonderful i wish you were here, kumbe katika kutuma akafuta ile herufi ya mwisho bahati mbaya! msg ikaenda hivi :is very...
MSANII wa ngoma ya Bwashee, Baby J, amedai kuwa wanaume wengi wa Tanzania Bara si wapendaji bali wengi ni wale wanaotaka kumchezea mwanamke na mwisho wa siku wanamtema tofauti na wanaume wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.