JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wanajamvi, Kuna Ndugu yangu ambaye anasema amefanya utafiti na majaribio mara nyingi, hadi amefikia conclusion kuwa ukiongea kwenye Mobile phone na wana-nasaba wako kwa KILUGHA huwa charge yake...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Napenda kuthibitisha kupokea zawadi. Nawashukuru wote walionisupport nawapenda sana nathamini mchango wenu bila kura zenu nisingeweza kupata nafasi hii. Nawapenda sana
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Mvua iliyonyesha usiku wa kuamkia leo majira ya saa tano hadi asubuhi imewasababishi usumbufu wakazi wengi wa jiji hili. Wapo ambao hawakulala wakishindana na maji ya mvua. Yanaingia ndani, wao...
4 Reactions
75 Replies
4K Views
Kongosho kaniweka kinyumba jamani na ana wivu mpaka wa keyboard!
4 Reactions
132 Replies
6K Views
Jamaa alishtakiwa kwa kosa la "Ushoga". HAKIMU-Kwanini unajihusisha na tabia ya "Ushoga"?. MTUHUMIWA-Samahani hakimu,Sikujuwa kama mku*d* ni mali ya Serikali
8 Reactions
30 Replies
3K Views
mamb' vp aisee mkubwa, shwari ...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Form three letter words from the word..........RELATIONSHIP
0 Reactions
8 Replies
892 Views
wasalam Baada ya kumaliza nusu fainaly,tunaingia katika hatua nyingine ya kumsaka mshindi wa kwanza amabye atakua Miss Chitchat na kuibuka na muda wa maongezi wa Tsh 7,000/= .Pia Mshindi wa pili...
3 Reactions
186 Replies
11K Views
Jana wakati wanakula walianza kama hv... Wenje: Mwongozo wa Mwenye Hotel, chumvi haitoshi. Mnyika: Taarifa Mheshimiwa., Mchuzi unaonekana wa Jana siungi Mkono Hoja ya Kulipia Chakula hiki...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ndugu wana-jamvi Hii inaniumiza kichwa naombeni mnisaidie kujua rangi ya pundamilia, Je Pundamilia ni mweusi ana mistari myeupe au ni mweupe ana mistari myeusi.Nawasilisha
1 Reactions
29 Replies
5K Views
Hebu makinika nami mchana huu . Namuongelea Samaki . Samaki kama ilivyo ada , maeneo tajwa hapo juu ndivyo yalivyogawanyika aidha katika tumlavyo kila mtu ana maeneo shoboko , namna apendavyo...
0 Reactions
49 Replies
4K Views
mie naenda mwanza kwa mama kijacho
0 Reactions
1 Replies
598 Views
Sijawahi ingia Lock up na umri huu.Bt leo nimeonja joto la jiwe.Duu,mapolisi wana kieleele,Ogopa.Halafu,naona utaratibu kuingia cyo fair kabisa.Omba sana us3
0 Reactions
7 Replies
1K Views
mpigie kura charminglady achukue taji la miss chitchat. kupiga kura yako, 1. nenda uzi huu...
0 Reactions
3 Replies
734 Views
Kutokana na ushindani uliopo hivi sasa;nimekuja kivingine kabisa.Nitagawa hizi noti kwa yeyote ambaye yuko tayari kuungana na mimi atapata huu mzigo.Na utakusaidia kuboresha maisha yako ya sasa...
0 Reactions
0 Replies
990 Views
Kinyozi mmoja alikuwa ananyoa kwenye Saloon yake iliyokuwa floor ya 1 kwenye jengo husika. Baada ya muda akahama na kwenda ground floor. Kufuatia kuhama kwake akaamua kubandika tangazo kule...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Mbona sikuoni ukipiga kampeni??ukweli mimi binafsi nakukubali sana japo nikiulizwa why siwezi kuwa na jibu. Nilipoingia humu nimeona wenzako wakipost thread za kujikampenia, nikapitisha macho...
1 Reactions
29 Replies
2K Views
.... It was about 12.00 noon, which is supposed to be lunch hour, when about five, charming armed robbers, visited one of the banks in Arusha town. The smiling thugs greeted every customer with...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Je huna ndugu yeyote aliyepanda treni ya Mwakyembe leo? inasemekana kwamba dereva wa hiyo treni kajisahau alijua ni LONG trip, SASA Hivi ndo wako Makambaku wanarudi tena Dar:bange::violin::israel:
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kweli kifo kinaogopwa Jamaa aliingia msikitini kwa kasi na panga mkononi huku jasho likimtoka, akauliza nani muislamu humu ndani? waumini wote kimya... jamaa akauliza tena, nani muislamu humu...
2 Reactions
10 Replies
4K Views
Back
Top Bottom