Baada ya polisi kuanzisha msako wa kukamata wapika gongo mitaani, mama mmoja aliamua kwenda kupika gongo kwenye mapango mida ya saa kumi na mbili na nusu jioni. Wakati akiendelea na zoezi lake la...
Wakuu na maalwatani wa jukwaa hili nawasalimu kwa salute!!!
nimesikia, na kuisoma methali hii isemayo "kila shetani na mbuyu wake" nimeitafakari sana, tena kwa kina! kichocheo kikuu cha tafakuri...
Habari zenu,
Nipo hapa na mtoto wa darasa la 3, wa kike anamiliki simu ya Nokia N70 nlipotaka kujua zaidi amenijibu mama yake kampa aitumie, nlitaka kujua zaidi kama ni kweli mama yake kampa au...
Around the corner I have a friend,
In this great city that has no end,
Yet the days go by and weeks rush on,
And before I know it, a year is gone
And I never see my old friends face,
For...
Nachukua fursa hii adhimu kukanusha habari zilizoletwa leo hapa Jamvi .
Taarifa iliyoletwa na Ruhazwe Jr.
Nikiwa Kaka wa Erick nathibitisha kwamba mdogo wangu hana tatizo lolote la kusaidiwa...
1. The ventilation system of any building is the perfect hiding place. No one will ever think of looking for you in there, and you can travel to any other part of the building you want without...
Wana wa bodi , nathubutu kufunguka kua tangia shindano la Miss Chtcht lizinduliwe sijawahi ku'vote .
Aidha nimekua nashiriki ku'share comments kwenye Thrade zihusianazo na mchakato wa shindano...
Hi JF, leo nimekaa mahali nikamwona dem wangu flan kipindi nikiwa kijana nikakumbuka mbali sana, kipindi hicho nilikuwa getho na masela wenzangu msela akikamata kitu chake unapishwa ukajiulie...
Wana Chit chart, wiki ijayo Ijumaa natia timu Dar, na nitakaa kwa siku tatu pale viunga vya Msasani, Kidume yeyote yule ambaye angependa atoke na mimi kwa dinner afanye booking mapema (Lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.