jamaa mmoja usiku kucha alikuwa anajamba ovyo kila aina ya sauti,mara pwiii,fyuuu,puuuuu,yusuphuuuuu,tata taaa!!!Mkewe akamuuliza una nini leo.jamaa akajibu "natafuta ringtone ya ma.ta.ko yangu"!!!!
Nimekaa nikaangalia faida na hasara za ndofu nimegundua yafuatayo!
Faida za Ndofu:
1. Zinanipa kitambi cha kuzugia
2. Zinanipa raha kwa Muda
Hasara za Ndofu:
1. Zinanigombanisha sana na Amyner...
Juzi kati Dada mmoja ameaibika mbele ya wakwe zake, kisa meseji ya mapenzi kaikuta kwenye simu ya mme wake, kisa kamili jamaa baada ya kushtukia mke wake huwa anakagua simu yake akiiacha na...
Malkia Elizabeth alipokuwa Jehanam alimuomba Shetani (Msimamizi Mkuu) ampatie simu aongee na watu wake wa Ulaya, akapewa akaongea kwa dakika 5, akauluza bili akaambiwa ni Dola Million 5, akaguna...
Wadau najua wengi wenu mnajua kuwa kuna Simba TV je wenzangu mnijuze inapatikana kwenye frequency gani ? Nina hamu sana na Tv ya chama langu au mambo ndo@yaleyale ya uwanja pia kiza totoro...
Guys leo nimejikuta nakumbuka siku niliyoonja pombe kwa mara ya kwanza! Ilikuwa standard 2 wakati tunaiba za mzee then tunajazia maji akaja kustukia kitu hakiwi na ladha akatuzingua balaa ila...
Wajameni kwa wale mafuns wa Simba, naona kwa mwelekeo huu inaweza kuwa ndio mwanzo mwisho wa makeke yao kwani nasikia hata tumaini lao NGASA kakimbia timu badala ya kwenda Mwanza kupata kichapo...
Naombeni kujua kama kuna dawa ya kutibu jino bila kuling'oa. Kuna wakati nilinda kwa dentist akaniambia kuwa kuna jino linaota na hivyo linaugandamiza ufizi akaishia kunipa dawa za kutuliza...
Guido Westerseller ni Foreign minister wa Ujerumani .
Aidha Guido anaetoka Free Democratic Party (FDP) Ndiye Vice Chancellor , wa Mama Angella Merker.
2010 July mbele ya waandishi wa habari ...
Pastor mmoja hupenda kuchangamsha waumini wake wakati wa mahubiri kwa kuwaambia,"Ambia jirani yako yesu anakupenda."
Leo akawa anahuburi kuhusu wanawake wasio pata mimba akaambia waumini,"Ambia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.