JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Leo toka subuhi nilikuwa ofisini sikuweza kuingia hapa JF, sema jamaa wakaribu akanitumia meseji kuwa nitume milioni moja urgently mshikaji wangu(ambaye yupo JF japo sitamtaja hadi aje mwenyewe...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
habari yako bhana,mjulie afya yake mkeo au Mume wako.
0 Reactions
19 Replies
1K Views
dah,nilikuwa na wasiwasi sana maana nilidhani wewe ndio muhanga wa leo uliyenasana huko Temeke mkifanya majambozi,hadi nilipoona una-comment humu JF nikajua umesalimika.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kichwa cha habari chahusika. UTANGULIZI Miezi kadhaa iliyopita nilileta kwenu wanajamvi kamati mbalimbali zilizokuwa zikishughulikia masuala ya ndoa na mahusiano hapa chit-chat lengo likiwa ni...
7 Reactions
65 Replies
4K Views
Wadau huwa napata a very strong feelings ninapokutana na mtu niliyesoma nae shule ya msingi...hasa darasa moja,ninakuwa na atitude tofauti kuhusu mtu huyu....Ni nini hichi wadau? kwa mfano ukienda...
0 Reactions
1 Replies
839 Views
Salaam wana bodi. nimefiwa na kaka huko moshi. nategemea kuondoka asubuhi kwa ajili ya mazishi kesho. nawatakieni jpili tulivu.
2 Reactions
78 Replies
4K Views
Mpenzi wako wamwitaje.... LOVE DICTIONARY HONEY = KIMEO DEAR = WAKUZUGA SWEETY = MSHAMBA MY LOVE = ZEZETA BABY = JINGA DARLING = ***** HUSBAND = BUZI or ATM WIFE = KIPOOZEO
2 Reactions
108 Replies
13K Views
Hii ni biashara nzuri kuliko hata ile ya kunasisha...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
0 Reactions
5 Replies
987 Views
jamani leo ni j1-1 ila kiukweli kazi zimeisha mapemaaa kwa ofc sina cha kufanya nikaamua nijitupe jf nikanza MMU nimeona leo hakuna dili na sina topic ya kuitupamo huko nikaona niende siasani...
12 Reactions
212 Replies
12K Views
1. Kama elimu ni ufunguo wa maisha kitasa chake ni kipi? 2. Kama majuto ni mjukuu baba yake ni nani? 3. Alie juu mngoje chini atakae mshusha nani? 4. Polepole ndio mwendo speed 140 kwenye...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwa hili, amendment ya by law ingebid iganyike tu! Skia... Bwana harusi matata aliyeoa mke machachari na mrembo, walipofika nyumbani Bwana harusi alitoa kanuni zake za maisha yao mapya...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
A Chinese man called a Prostitute house & asked for the services of their most talented & energetic girl. The girl finally got to his home & they started having s*x. Once he was done, he...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba unifikishie barua hii kwa nyerere,Tangu uondoke hali hapa tz imebadilika sana ckuhzi,mlima kilimanjaro na tanzanite viko kenya,ziwa nyassa liko malawi,tanesco ni ya lowassa,shekh pondo ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Niliwamiss jaman lol! Nashukuru mungu kwa kiwezesha kuwa nanyi tena! I love you all!!!
10 Reactions
109 Replies
7K Views
Msaada tafadhali; Ni maeneo yepi mwanza zinapatikana huduma hizi: uuzaji wa pamba za ukwee, quality salon na viwanja vya kula bata vya ukwel?
1 Reactions
91 Replies
5K Views
One Sunday, a certain Church Held Prayers for all Singles who wanted mates!" the Singles were grouped on one side and Told To Pray For their Heart desires... A lady prayed, "oh lord I don't...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Nilizoea viwanja vya jolly,ambiance, sunsiro,bilicanas na maeda clubs mlioko dar naomba mnijuze viwanja vikali kwa sasa!
0 Reactions
77 Replies
3K Views
Haka kakijana kangu kalikozaliwa hivi karibuni, kananifanya nikeshe kila siku kutokana na kulia usiku kucha. Nashangaa sana maana hata wanangu King'asti na Cantalisia hawakunisumbua hivi utotoni...
6 Reactions
76 Replies
6K Views
Back
Top Bottom