JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Q: How many politicians does it take to change a light bulb? A: Two. One to assure the public that everything possible is being done while the other screws it into a water faucet.
0 Reactions
0 Replies
872 Views
Ndo niko live naona Star times wameamua kuziweka rasimi Star tv,Eat,Itv naona zote ziko =on test si unajua tena December imeshafika analogue bye bye karibu Digital
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Hivi punde nimesikia mvunjiko wa habari . Source Habibu Gea wa clouds . Habari Mwanaume na Mwanamke wamegandana. Wamefikishwa Temeke hosp kwa kuganduliwa. Taarifa zaidi zadai Temeke hosp...
1 Reactions
62 Replies
6K Views
Nimeimic family yangu ya chit chat..tupo pamoja lakini ni majukumu tu wadau.nadhani tutakua kwa kirefu mwezi wa 12 hv wadau
0 Reactions
5 Replies
833 Views
Wewe bwana mudogo najua iko humu JF wewe, Haya mambo yako ya uchokonozi haya wewe mtoto sio mazuri, Unajua kabisa kuwa sasa hivi watu tuko kwenye puresha ndani ya kyama yetu ya Mabinuzi lakini...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari zenyu bhana... Hope muko byeee kuna watu huwa wana allergy..mf.me nikila dengu huwa koo linavimba. Hebu tuambie wewe una allergy na nini??????
1 Reactions
31 Replies
2K Views
husika na kicha hapo juu.....HILI ni onyo....katabia kakurusha mawee juu ya paa uache.... :behindsofa::behindsofa::behindsofa::behindsofa: :behindsofa::behindsofa::behindsofa::behindsofa:
1 Reactions
45 Replies
3K Views
Ujinga Ni............ 1.Ujinga ni Kumenya pili pili. 2.Ujinga ni kuuliza Konda yupo wapi wakati umepanda piki piki. 3.Ujinga ni Kupiga Kandambili Kiwi. 4.Ujinga ni kesema Rose muhando Malaya...
0 Reactions
39 Replies
7K Views
Siyo ile ya kujifunika mashuka mawili-mawili, mpaka sie wachafu tukapata sababu ya kukwepa kuoga. Hili jua ni nowmer, ukiweka nyama chumbani kwangu ukirudi unakuta mishkaki. Wageni karibuni Dar...
4 Reactions
55 Replies
11K Views
Anayejua anipm. Atleast tuchangamshe akili mara 1 kwa week ikiwezekana.. Niko Dar! Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Teacher to a student: "Can you think of a solution to end unemployment?" "Yes, sir! I'd put all the men on one island and the women on another." "And what would they be doing then?" "Building...
0 Reactions
0 Replies
809 Views
panya wa kwanza. mimi sikamatwi na mtego wowote kwani nimegundua binadamu ana akili ukipita kwa mbele lazma ukamatwe mimi napitia nyuma ya mtego na baada ya kutegua ndipo nakula chambo. wa pili...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa vile serikali inataka kuwawekea kodi mpaka wale wenye biashara ndogondogo, basi inawabidi pia watoze kodi wezi, majambazi na vidokozi maana wanajipatia kipata kutokana na kazi zao. Labda hili...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wanabodi, Hebu nisaidieni hii, kama unajua kiswahili.......Ikiwa hii 11,000=elfu kumi na moja. Je, hii 10,001:Shilingi ngapi? Nisaidieni ndugu zangu.
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Baada ya kukaa humu jukwaani kwa muda wa kutosha, sasa nimeamua rasmi kuomba kujiunga na hii familia ya wana chit-chat, sababu kubwa ikiwa ni kuchoshwa na siasa na mambo mengine mengu tu. Hodi...
0 Reactions
60 Replies
3K Views
Baada ya kulala wiki nzima nyumbani kwa kuugua malaria hatimae jamaa alirudi kazini; BOSI: Unajisikiaje sasa? JAMAA: Bosi najisikia fresh, japokuwa kuugua kwangu kumenipa furaha na faraja sana...
0 Reactions
6 Replies
36K Views
Kijana mmoja baada ya kutajirika akamwambia baba yake, Baba sema nikulipe nini ili tusijuane tena! Baba akamjibu "Nipe mkeo nimnyonye maziwa kama wewe ulivyomnyonya mke wangu" Kama ni mwanao...
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Wadau nafurahi sna kujiunga hii leo katika jukwaa hili lenye fikra chanya za vijana na watu wa rika mbalimbali wenye mawazo thabiti kabisa...........:happy::happy:
1 Reactions
8 Replies
886 Views
Back
Top Bottom