hali zenu wadau,
leo ni siku ya tatu nahic mguu wangu wa kulia unakosa nguvu. unakuwa kama unakufa ganzi hivi, nikitembea unakuwa mzito kweli ila hauumia kabisa. je kuna ambaye anaweza kujua...
Baada ya kuwa kimya mda mrefu na pilika za maisha japo tulikuwa pamoja kwa namna moja ama nyingine naomba niwape pole kwa ndugu zangu wote walio kutana na wakati mgumu mpaka kufikia kukata tamaa...
nilipata hii msg nikachoka,
kwenye duka la mkinga,
pata sukari, mayai, baiskeli, vitenge, pilau, wali kuku, sambusa, matairi ya trekta,madaftari, bia aina zote, petroli matunda aina zote, nazi...
Niliyoyaona nilipokuwa Sero.
Ilikuwa siku ya Ijumaa ya juzi tarehe 02.11.2012 majira ya 13:10hrs nilipigiwa simu na afande mmoja kutoka central police ya Arusha, akiniomba nifike pale mara moja...
Habari wana jf,
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza!!
Nilikua naulizia sehemu nayoweza pata fundi mzuri wa kulekebisha nguo zangu
Maeneo! Along njiro road!! Town if possible
Pale Braza 'ako au Sista 'ako akiwa na mpenzi kisha wakaachana huwa Wanaitana Ex-Boyfriend/Girlfriend ama Ex-Wife/Husband..
Sasa wewe Mdogo/Dada/Kaka Mtu uliyekuwa unam-refer Mpenzi wa Sista/Kaka...
ENJOY THE DAY
"MLEVI mmoja alioa mke. Mkewe alikuwa hajatulia hata
kidogo.
Siku moja mkewe akiwa anajivinjari na msela, MLEVI
akarudi home ghafla. mkewe akamwambia yule msela
Usiondoke, lala...
Jamaa mmoja alianza tabia ya kumwingilia mkewe kinyume na maumbile,tabia hii iliendelea na mke akakosa uvumilivu.
Baada ya kukosa uvumilivu ilibidi awaeleze wazee wa hekima ili kumhoji mumewe...
Jamani mm nataka kwenda Angaza lkn nashindwa nianzie wapi. Tatizo ni kwamba zamani nilikuwa siugui kabisa lkn kwa sasa homa na mwili kukosa nguvu ni kawaida. Nawaza sana khs kwenda kupima afya...
Inakuwaje mtu anauandikia moyo wake barua?
NA ukipata wasaa wa kuuandikia barua moyo wako utauambia nini??
Huu ni ujumbe wangu kwa moyo wangu:
Dear heart, release Bishanga kwenye kaselo...
Jamani jamani,
Asikwambie Mtu, Chit Chat tamuuu.....!!!!!!!!!!, matumbo nilikumisijeeee, japo najua huko uliko unaguna tuuuuuuuuu.............!!!!!!!!!!!! Madame B nimerudi na Ari mpya, Nguvu mpya...
Wa Ndugu,
Kama wiki moja hivi iliyopita nilikuwa Liverpool,UK kwa dhumuni la kumuwakilisha mteja wangu kwenye baraza(tribunal) moja la migogoro juu ya biashara ya pamba, nilipofika Heathrow...
Jana nikaamua kuwa swaga wa kitaa>.........!! Nimepiga tingasi karibia kila kona ya jiji hili lengo ikiwa ni kushangilia ushindi wa Siiiiiiiiiiiiiiiiii ahaaaaaa kumbe siyo Simba wajameni ni YANGA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.