JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Poleni na majukumu wapendwa. Nahitaji msaada, nahitaji jinsi ya kupata habari za Itv kwenye YouTube. Wao huwa wanasema unaweza kufuatilia habari zao kwenye WWW.youtubu.com/itvtz, mfano nahitaji...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Unaunyonya kwa mapozi mpaka unacmama na kuuingiza kwenye 2ndu na kuanza kazi ukiwa unaingiza na kutoa. AISEEEE KUSHONA NGUO NA SINDANO YA MKONO KAZI !!!!!!! Je wanajamii unaonaje ????????
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kuna mmasai alipeleka redio kwa fundi fundi alipoifungua mende walitoka katika redio mmasai alisema uku akihamaki KAMATA HIYO TANGASAJI YA REDIO INATAKA TOROKA.
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Zamani ugolo walikuwa wanabwia kina bibi,eti siku hizi vijana ndio wameona fashion na wao wanaona ndio ujanja kubwia ugolo,ukimkuta domo kakunja anashindwa hata kuongea,kutema mate kama mjamzito...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari! Hivi ikitokea siku mwizi akaja akakuibia dhambi zako zoote ulizokuwa nazo...je utafanyaje? Utapiga kelele za mwizi mwizi...?au Utafurahia..? Nipo Mbeya City
0 Reactions
5 Replies
1K Views
1. Kama hela haioti kwenye miti kwa nini Bank zina matawi? 2. Kwa nini gundi haigandi kwenye chupa yake? 3. Kama tunatakiwa tusiendeshe gari wakati tumekunywa(kulewa) kwa nini bar kuna parking...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Ni kweli kwamba mimi platozoom ni kijana na kwamba dada yangu toka nitoke ni gfsonwin na mume wake ni Kaizer....Halafu Ronnie m ni mpwa wangu kwa maana ya kwamba ni mtoto halali wa dada yangu...
11 Reactions
212 Replies
11K Views
Ujinga ni...........! Kupenga makamasi kwa mkono, kujipangusia kwenye suruali kisha kusalimia mtu bila kunawa mikono
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Interviewer: There are 500 bricks on a plane. You drop one outside. How many are left? Applicant: That's easy, 499 Interviewer: What are the three steps to put an elephant into a fridge...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
PSYCHOLOGIST & LAWYER A guy asked a girl in a library; “Do you mind if I sit beside you”? The girl answered with a loud voice; I DON’T WANT TO SPEND THE NIGHT WITH YOU!!! All the students in...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
alikuwepo kijana mmoja mgeni town,alipokuwa akicheza na wenzake walitukana tusi,******* alipokwenda nyumbani alimuliza mama yake maana yake akamwambia maana yake ni wageni.siku ya pili alikwenda...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Leo nimeombwa Ki-Date na funzadume. Je wana chit chat mwamjua huyu mtu, msije kuta manyoya kesho alfajiri!
1 Reactions
46 Replies
4K Views
Ndugu zangu naombeni msaada wa haraka,na ushauri namna ya kudeal na huyu mtu mwenye hii namba.. Kanipigia kwenye namba yangu ya Voda asubuhi sana ,sauti ya mwanadada(ila ana claim kuwa ni...
0 Reactions
62 Replies
5K Views
MME:ofis ye2 imeungua,wafanyakaz wote wamekfa MKE:imekuaje ukapona? MME:nilkuwa jiran na ofis nakunya MKE:vp kuhus familia za wafiwa MME:watalpwa mil 20 kwa kila1 MKE:unaona sasa kunya kunya...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Aisee ukimwi hauwezi kuisha bongo hii. Kuna gest inaitwa umoja gest house ipo nyuma ya kituo cha police mabatini, malaya wamechukua rums hapo kumekuwa ni danguro, ukifika tu unatoa elf mbili yako...
0 Reactions
24 Replies
12K Views
ALEXANDER POPE-ISM To err is human, to forgive bovine. ANARCHISM You have two cows. The cows decide you have no right to do anything with their milk and leave to form their own society...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kwa staili hii wanyonge watapona
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Leo ni siku yangu mpya ya kuzaliwa tena, nimetimiza miaka XXIX hapa duniani, mwenyezi Mungu zidi kunipa maisha marefu, amina.
6 Reactions
43 Replies
3K Views
Habari Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki yangu,Napenda kukukaribisha kwenye kikao changu cha kwanza kitakachofanyika sigara club chang'ombe 28/11/2012,Nahitaji mchango wako wa hali na mali...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
nakutafta kila mtaa sikupat cm hazipokelewi pm hazijibiwi lakini bado nakupenda bado moyo wangu hautaki kukukosa nakupenda sana uoneehuruma moyo wangu unavyoteseka
2 Reactions
45 Replies
5K Views
Back
Top Bottom