Brajec Club: Mwanaume mwenzangu yu karibu na meza yangu,namwonea huruma sana ni kama King Mswati, meza yake imezungukwa na mabinti kama sita ambao wanapiga nywaji kali. Ni mabinti wa chuo kwa...
Nasikia karibia uende alipo baba wa taifa,ukifika mpe barua hii:-
Dear Nyerere, tangu ufe mlima Kilimanjaro uko Kenya, ziwa Nyasa liko Malawi, Tanzanite iko Kenya, Tanesco ni ya Lowassa, Shekh...
There was a guy at a bar, just looking at his drink. He stays like that for half of an hour.
Then, big trouble-making truck driver steps next to him, takes the drink from the guy, and just...
Si ni hawa wanaojiita VODACOM !
Hivi unamuelewaje mathalan mtu kaweka bandiko ,
"FUNDI & MTAALAMU MAHIRI WA KUTAHIRI, ZILETENI"
Wenye zakari zao wakaitika!
Wakakushushia zakari za kutosha...
Wana cc! Habari za muda huu? Wadau wenzangu naomba mnisaidie mawazo yenu kuhusu hii makitu inayoitwa TIKISA inayorushwa ITV! Mimi naona haipo kwa ajili ya mila na desturi zetu! Kwa nini hawa...
When you walk into a bar and see two/three/four ladies sitting together, how do you chose the one you want to talk to? What do you notice first when you see a woman that makes you want to talk to...
26 yrs of age si haba,, naona wedding bells nazo zinakaribia kugonga as life la kibachelor nimeona pengo lake as wife angekuwepo ndan si ajabu bonge la keki na mapocho pocho kibao yangekuwa...
-Mtindo huu hasi wa maisha,mtindo wa karaha kuwa raha ,tukubaliane lishe za hovyo ni chanzo cha maradhi ya kusendeka(maradi yasiyoambukiza) saratani,kisukari,shindikizo la damu,kiarusi na maradhi...
Nauliza tu jamani,hivi kuna utaalam wowote wa kutumia Aquarium bila kutegemea nguvu ya umeme?
Samaki au viumbe wengine wanaweza kuishi bila mzunguko wa maji unaosababishwa na umeme?
Kwenye safari kwa sisi ambao bado tunatumia usafiri wa Umma, kuna kero mbili ambazo zinatukabili wasafiri. La kwanza ni ukosefu wa vyoo kwenye njia tunazotumia kusafiria matokeo yake hujisaidia...
wadau nahtaji mshenga mwenye uzoefu wa kuweza kumbadilisha MENTION= Elizabeth dominic MENTION.nimetumia uzoefu wangu kwakila hali nimekwama lakini bado nampenda na namuhtaji.atakayeweza...
Habari zenu wanajamvi..
salam hizi zinafatana na shukrani kwa MUNGU. Jana ndio nilirudi hewani baada ya tukio la juzi lililotokea maeneo ya beach.
ilikua hivi
nimetoka na washikaji naenda...
Kuna bwana mmoja aliambiwa mke wake yupo na mtu mwingine gest fulani chumba no. 7. Akakodi Taxi mpaka hapo gest akampa deleva wa Taxi hela yake na ya ziada na picha ili akamletee mkewe kwa namna...
habhali yenu bhana
Tukiwa kwenye maandalizi ya kuanza mashindano naona ni bora kutangaza zawadi kabla ya kuanza mashindano hapo tyarehe 31 oct,
zawadi kwa mshindi wa kwanza (ambaye ndio...
jamaa mmoja alienda kwa
kinyoz akamulza knyoz vp
utatumia mda gani
kunyoa,kinyoz akaangalia
folen akasema md wa saa
3,jamaa akaondoka,kesho
yake akarud tena,akamwulza
tena knyoz akaangalia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.