za leo waungwana , hamjambo sasa jaman mwenzenu leo miguu inawasha inaamaana lazima safari iwepo sasa bas najua leo sikukuu nialiken basi jaman mi nipo mza ivo loooh ila kuna kammvua hapa nipo kwa...
Lete michongo, idd el haj ilikuwa vipi pande zako, me kawaida sana kama kawa sijawa na mtoko leo. nimechil na JF, pamoja na kuperuzi mambo mengine.
Gud day people.
Math Teacher
If a=b and b=c then a=c,
now give me the practical example of this principle from real life.
Student :
I love you sir
and you love your daughter
which means I love your daughter.
Wasalamu
Leo naomba kujitokezahadharani kwa mara ya kwanza nikiwa nawazo tofauti kidogo,nitaomba kuulizwa lolote kuhusiana na mimi,niulize lolote ambalo ungependa kujua toka kwangu.
wenu katika...
Dear Nyerere:
Mlima Kilimanjaro upo Kenya,ziwa Nyasa lipo Malawi,tanzanite ni ya Nairobi,Tanesco ni ya Lowasa na rais anaishi airport.
Zamani ukiongelea kilimo tulikuona kwa vitendo...
Wapenzi wadada wote ninaokutaa nao waongooo halafu wanagawa kishez,yaani hadi nimechoka kuotka na mademu mwezi sasa nipo single...dah ila hali tata bana hata sijui nifanyeje
Nawatakia kheri ya sikukuu ya Eid al adha kwa wana JF Wote popote mlipo,
Sio vibaya pia tukajua kilamoja atakua viwanja gani akijumuika na familia yake. Mimi nitakua Ngorongoro weekend nzima na...
Kumekuwa na wingi kubwa sana la watumiaji wa Black Berry Messenger Hapa Tanzania Kama njia Moja wapo ya Mawasiliano lakini watu wengine wameanza kuitimia Vibaya njia hii hasa Dada Zetu kwa kuwa...
Hivi wajameni nashindwa kuelewa sababu ya hii foleni ya Posta jioni hii....baada ya kupoteza kama saa nzima kwa kutembea umbali wa mita 500, nimeona bora nipark gari na kuendeleza libeneke la...
Familia yenye mkwanja kidogo, walikuwa wanaishi katika kabangaloo kao kenye ghorofa
moja. Mamaa alikuwa kajifungua mtoto wa pili ana wiki mbili tu
DOGO: Mamaaaaaaaaaa njooooo huku chumbani...
Dakika tano tu zilizopita tukio hili limetokea hapa kigamboni:
Jioni ya leo tumepata wageni wengi mpaka ilikuwa raha sana. We enjoyed the jokes and th company kwa kweli.
Muda mfupi uliopita...
nadhani anaongoza boflo kwa kupendwa na mabinti-sasa sijui kama wanajua ni me au yeye ni ke!halafu mwingine ni smile anapendwa sana na wanaume-sijui naye kama ni ke au me!!engine wanaopedwa sana...
Jamani sijawahi kula nyama ya bata.
Je hapa jijini Dsm ni hoteli ipi wanauza nyama ya bata?
Sokoni wako wengi wanauzwa lakini nasikia ukichinja bata ni lazima umning'inize kwanza kwani ana maji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.