Bujibuji amezaliwa enzi za chama kimoja,
kaunda sana magari ya waya,
kacheza sana vinyengo, madaso a.k.a chandimu.
Kala sana kabunguja, na magili ya samaki.
Katumia sana maneno tekude, kishtobe...
WanaJF wallah raharaha.... Soma comments za watu wanaochangia mada, hata uwe umenuna vipi na stress? Comments za wadau utacheka mpk ufee...topic ya pumba!! Majibu pumba sq...
NB: nategemea pumba...
Nina miezi muda sasa katika JF so naomba munielekeze kuweka picture kwenye profile tena kwa hasira nitaweka yangu na ya mke wangu nilie muoa kwa lazima baada ya kufumaniwa,
A guy stuck his head into a
barber's shop
and asked, "How long before I can
get a
haircut?" The barber looked
around the shop full of
customers and said,"About 2
hours." The
guy left. A...
Baba yako mzazi kiatu kimechakaa mwaka wa Pili
sasa,umeuchuna,na kazi unafanya...Umejikakamua
umenunua tiketi 2 za Fiesta pale getini kwa 50,000 ili umu-
impress bebi...Anafika ndani anapiga...
1. Ukiona kila unapotaka kusema FANTA, unasema FANDA ujue una damu ya Kihehe
2. Ukiona kila unapotaka kusema SODA, unasema THODA ujue una damu ya Kipare
3. Ukiona kila unapotaka kusema KAFARIKI...
Mzee mmoja alimtumia mjukuu
wake aliyefungwa gerezani barua:-
Mjukuu wangu mpendwa nina
huzuni sana mwaka huu sitoweza
kulima viazi kwenye shamba kwa
sababu wewe uko gerezani na sina
uwezo wa...
Wandugu, leo yani nina hamu kweli ya kufumaniwa na mke wangu! Yani sijui kwa nini natamani anifumanie katandani.
Hebu mwenye uzoefu wa fumanizi ajitokeze tujipange kwenda guest ya karibu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.