JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
heshima mbele wana chit chat, nina imani kila mmoja wetu hapa ana siku 2 ambazo hatazisahau maishani mwake. 1st. ni siku ya furaha, hii siku ambayo ulifurahi furaha isiyo na kifani. . . 2nd...
5 Reactions
68 Replies
4K Views
Bishanga- Bukoba Mjini. Genecious Kaiza -Bukoba Vijijini. Erickb52 -Simanjiro Kongosho-Newala Cantalisia-Kisarawe Dark City-Temeke Mtambuzi-Ilala BAGAH- Kinondoni Rejao-...
16 Reactions
393 Replies
18K Views
Dah jamani rahaaa.. Kweli wadau mnafaidi, kwa mara ya kwanza mtu mzima nimetua midwest pande za chicago illinois ndan ya ORD nawait connection yangu ya 3 kuelekea zangu grinnel iowa,, nataman...
1 Reactions
34 Replies
2K Views
Kuna dada alipnda kwene daladala akakaa karibu na deleva, deleva alikua amemtamani akawa kila mara anabadili gia na kumgusa dada pajani. Yule dada akamwambia we hujasoma bibilia kifungu No...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
1. Ni raha sana pale unapokuwa unashida ya kifedha mara ghafla unayemdai kwa muda mrefu anakuletea pesa nyumbani 2. Ni raha sana pale unapofanya mtihani mgumu na ukaandika OP na matokeo yakitoka...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
mitihani ya kidato cha nne inayo endelea wiki hii jana hali ilikuwa hii baada ya mwanafunzi kudakwa na kibuti... ticha;hiyo nini? denti;kwani hujui? haya ni majibu ticha;simama utoke kwenye...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuna kichaa moja alitoroka katka wodi ya vichaa alpofika nje akaingia kwenye kibanda cha cm akapiga mapokezi ya ile hospital akapokea nesi aliyekuwa zamu kichaa akamwambia nesi hebu nenda...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
bhana ee kama hujui kusoma hata picha angalia alafu unipe sababu za haya kutupata sisi jinsia ya kiume
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Sijui Wanaompenda sana au kumchukia Wananwita Facebook badala ya Mbuyu Twite
0 Reactions
0 Replies
1K Views
hamjambo wana JF. leo wakati nina login email yangu nimekutana na hiki kisa na mineona vizuri nikishare. naombeni maoni yenu. click on the link heaven-real-says-neurosurgeon-claims-visited-afterlife
0 Reactions
1 Replies
1K Views
mheshimiwa catherine magige atinga arusha leo kwa ndege ya precision air ya saa 5 asubuhi peke yake akafwatwa na dereva wake kwenye airport ya kimataifa ya kilimanjaro(KIA)
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Baada ya kuwamis wana jf kwa siku 31, sasa nimeujua uchungu wa BAN, hasa ikukute kwa kuwatukana bodi ya mikopo ukidhani wanakusikia. Ni kuomba radhi tu kwa sasa, maana body washafunguka na kitu...
0 Reactions
28 Replies
2K Views
Mlevi alianguka toka juu ya gorofa fasta watu watu wakamfuata kumsaidia wakamuuliza vipi imekuaje? nlevi akajibu " SIJUI HATA MIMI NDIO NAFIKA SASA HIVI"
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Sina jinsi,kesho naamkia anjun mafia,kuna genge la vinuka mkojo wameamua kuvamia chichat kwa lengo la kuiparanganya,dawa yao ni ndogo,ni kuwapiga albadr,haiwezekani jitu lilale likiamka lije...
2 Reactions
72 Replies
4K Views
After 3 months of unprotected sex your sweetheart finally says,"Babe we need to talk,I've been silent about this issue because I was afraid of losing you,babe,the truth is I'm HIV positive'...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Duh leo hako ka operation kalikuwa mitaa ya huku kwetu...jamaa hawa ni Wataalamu waliobobea kuchana nyavu acha kabisa...na kwa wale walio oana na kuolewa,au wanaopenda kulala wawili wawili,kama...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Fill in the blank. Sipho is the son of Jackob, So Jackob is the ............ of Sipho's father. Please answer correctly!
0 Reactions
15 Replies
963 Views
shikamoo mama yangu Mamndenyi nakupenda sana mama,lakini mama upamoja na kukuhudumia kila ukipendacho kwakua mwanao nimejaliwa mapesa na mwenyezi mungu,mali na kila kitu kwa leo najiskia nikupe...
3 Reactions
64 Replies
6K Views
Back
Top Bottom