JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
kunajamaa alienda dukan akase niuzie chakula cha mbwa mwenyeduka akamwambia sikuuzii hadi umlete huyo mbwa. Siku nyingine akataka chakula cha paka akajibiwa amlete kwanza huyo paka. Siku ya3...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Karibuni wadau tuchome pamoja ile kitu roho inapenda!
0 Reactions
12 Replies
2K Views
0 Reactions
7 Replies
1K Views
kwa wanao hitaji vyakula freshi vifuatavyo weka oda mapema. 1.Maboga. 2.Mlenda mbata. 3.Mamung'unya. 4.mtama/uwele. 5.Mafuta ya alizeti ltr ni 2200. 6.Mafuta ya Ubuyu. 7.Ukwaju...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
MTU mmoja alifariki na kwenda jehanamu. Kufika huko akakuta kuna jehanamu tofauti tofauti kwa kila nchi. Akaamua kuzunguka zunguka ili aweze kuipata jehanamu yenye maumivu kidogo zaidi. Akaiendea...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Sweetie... Mwenzako cna RAHA baada ya kujua kiref cha HIV,,, H-hatari I-imeingia V-vitandani. Kwa sasa nalala bafuni.ucku mwema mpz..
2 Reactions
2 Replies
2K Views
chemsha ubongo fasta.. Bubu atatumia njia gani kumwambia Kipofu kwamba Mke wake anachukuliwa na Kiziwi ???
1 Reactions
9 Replies
3K Views
anaejua movie nzuri ya story navituko nicheke kidogo jamani kama ya American pie na Three ******
0 Reactions
3 Replies
943 Views
Unajua nakuthamini zaidi ya rushwa na posho! Bira ya wewe mimi siwezi kuishi, ni sawa na kukosa bunduki eneo ra tukio. Nakuheshimu kama ninavyoheshimu rindo. Wewe ndio IGP wa moyo wangu...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Dear Chitchaters, Kuna bendi ilikuwa inapiga pale Millenium Business Park Victoria kila Friday Last year nilikuwa naenda sana. Nikawauliza wadau pale wakaniambia inaitwa Grumeti Mambas, sasa...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
A married man died before having sex with his wife. The wife then cuts his manhood embalms and fixed it on the wall. Each night she went to the wall to.... satisfy herself. One day her...
1 Reactions
5 Replies
729 Views
Kwanza kabisa naomba kukaribishwa,,, pili ningependa kujibiwa hiki kijiswali etiii MLANGO HUFUNGWA WAKATI GANI?? Ahsanteni.
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Listen baby wheneva i see u ma heart accelarate 2 da maximum velocity 'n' initially incriz ma blood flow with pressure. In ma heart u'll remain costant provided dat true love can neither be...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
nawataja kwa taaluma zao: pou: ni mwalimu wa UPE uhuru mchanganyiko. Roulette: taaluma yake ina utata,inasemekana ni 'fundi',kuruka kwa ungo kwake ni muhali. Candid Scope: Mnec wa sisiem...
8 Reactions
89 Replies
4K Views
Hebu fikiria we Baba umepata safari ya kikazi miezi mitatu. Siku unarudi unamkuta mkeo mpendwa kavaa kanga yenye maandishi, "KULIKO KIOZE, HERI NIMPE JIRANI". Ungechukua uamuzi gani?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nlipokwenda libya kumtafuta Seif al-islam ndio nikajua kumbe waswahili hatuna tulichoanzisha hata lugha tumekopa kwa warabu tena kwa kiwango kikubwa mno! Kuna maneno nlikuwa najua yakibantu kumbe...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Leo nilipitia pale kilabuni kwa Kimario kupata kisusio Bana.. Sasa ile tunapiga piga Stori si Kimario akajifanya anajua Lugha kibao? Nikamwambia Kimario kuna majina JeiEfu huwa siyaelewi yana...
8 Reactions
54 Replies
4K Views
Mtoto wa miaka 6 alikuwa anapenda sana hadithi,,Bibi yake alilitambua hilo,usiku mmoja alimwita huyo mtoto amsimulie hadithi,,bibi kaanza BIBI: Hapo zamani za kale.. MTOTO:Mmmm! BIBI: Sungura na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tajiri mmoja alitaka kufunga ndoa,akaamua ashone nguo ambayo haina rangi,,akamweleza fundi cherehani amshonee nguo hiyo na atampa kias chochote atakachotaka,,FUNDI cherehan akawazaa akaona hakuna...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom