hayaa tena wapendwa siku yetu ya kuwa na topic motomoto ndo hyo imefikawadau wote,mjiandae kwa mapoint kutakuwa na mada bab kubwa sana.
stay here, will be back in a couple of hours..
take care...
Salaam.Leo nimekuja huku. Naomba kujuzwa kama nawezapata huduma ya Free Sms ya kujiunga katika mtandao wa AIRTEL mfano wa xtreme au tano ktk tiGO. Natoka MUHEZA,TA kwenda MORO na RAHALEO sasa...
Huwa kila ikifikaga ijumaa nacheka sana..maana nahisi watu hasa kina dada huwa wanaiota itafika lini ili waje watuonyeshe pamba zao za mtaani.... basi kali zaidi..utawakuta hata wazee wenzangu...
Three leaders of the big beer companies meet for a drink. The president of Budweiser orders a Bud. Miller's president orders a Millers and the president of Coors orders a Coors. When it is...
The family of Mr Rice and Mrs Beans,sorrowfully announces the death of their daughter Stew who died in a stove accident at the university of kitchen.Among them were Dr Maggi,Prof salt etc.The...
Jamani nauliza hivi, kwa nini wanawake wengi wa JF wana 'like' nyingi kuliko wanaume! Naomba mnijuze, ni udaku tu jamani!!
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Teja kaenda dukani.
1st day TEJA: naomba chakula cha mbwa
MUUZAJI: Una mbwa kweli? Sikupi mpaka umlete huyo mbwa
(2day) TEJA: "naomba chakula cha paka
" MUUZAJI:"mlete paka kwanza...
Heshima kwenu wadau,, naona madogo wanaoanza first year wanajaza thread tu za bum huko jukwaa la elimu,, nadhan hii stage wengi tumepitia hasa tuliosoma undergraduate Tanzania...
Je wewe bum...
Nikapumzike,nikaburudike,na uchovu unitoke,wiki ijayo nianze kwa makeke,ingawa bado sina mke,nikaupunguze huu upweke. Nisaidieni wana-JF 'kiwanja' cha kwenda...
Mzungu alishuka toka Ulaya, akapanda teksi ili kwenda hotelini kwa mapumziko. Wakiwa kwenye foleni, dereva teksi akatoa hewa chafu, hewa hiyo chafu ikadumu takribani saa moja.
Dereva akamuuliza...
Baba: Unamjua Julius
Nyerere?
Mtoto: Hapana simjui.
Baba: Pumbavu sana kuwa
makini na masomo yako..
Mtoto: Haya. Na wewe baba
unamjua Hamisi Kibonyezeo?
Baba: Hapana Simjui.
Mtoto: Pumbavu...
WIFE: Look at that Drunker! HUSBAND: Who is he?
WIFE: 10 years back he proposed me & I Rejected
*
*
*
*
*
*
*
HUSBAND: Oh My God, He is still Celebrating. . Wow. . .!!!!!)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.