1.You work your entire life making money just to get a wife.
2.You have to act tough no matter your fears.
3.After buying a ring,you'll need a woman to confirm whether you get married or not...
A couple, desperate to conceive a child, went to their priest and asked him to pray for them. "I'm going on a sabbatical to Rome," he replied, "and while I'm there, I'll light a candle for...
Helo wana Jf. Naomba tujadili hili swala la baadhi ya watendaji wa serikali kusimamishwa kazi ili kupisha uchunguzi. Then tume inaundwa inalipwa mamilion ya fedha at the tume inaleta majibu kuwa...
Habari za asubuhi wadau,
usiku wa leo nimeota ndoto za kutisha kweli. kwanza nimeota kuwa boss wangu anataka kuniua kwa risasa. ilikuwa hivi "nilikwenda msalani mara boss nae akaja kwenye choo...
MKE: Naomba tuongee mume wangu
MUME: Ongea
MKE: Ni kuhusu huyu beki tatu wetu
MUME: Hilo tatizo lako halinihusu
MKE: Ana mimba
MUME: Hilo tatizo lake halinihusu
MKE: Kasema ni yako
MUME...
Habari wana chit chat ninaomba msahada ninae mbwa wangu ni jamii ya PET DOG jike nilipewa zawadi kutoka congo tangu mwaka jana sasa nataka waongezeke,kama naweza pata msahada wa dume jamii ya pet...
Mungi, marejesho, Preta, PakaJimmy Arushaone Filipo Blaki Womani, Kabakabana, Erickb52. LiverpoolFC sweetlady Wapo wengine hawakuorodhesha majina katika kitabu cha mahudhurio ila inabid...
Hebu fikiria na ujiulize kama kila dhambi ufanyayo unatobolewa, je ungekuwa na matobo mangapi ukitoa uliyonayo? Au ungekuwa kipi kati ya hivi vifuatavyo.
A. Chandarua
B. Wavu
C. Chujio
D.chekecheo
najua wote tunazipenda LIKE za JF ili kukuza reputation,na kupendezesha profile,sasa naomba kuweka hili wazo mbele ya wanachit-chat kama linafaa,tunafanya kama network marketing,unanigongea...
Eti jamani hivi watu wenye ngozi nyeusi(esp sisi waafrika) tuna IQ (Inteligence quotient)(kipimo cha akili ama werevu kwa binadamu)sawa na wenzetu??..Unajua hua najiuliza wenzetu wana kitu gani...
NISALIMIE AU NIJIBU KWA KABIRA LAKO
{KIRUGHA} -sobahi
-mwangaruka
-kohamade
-bonjour
-urewedi
-ugonile -kamwene
-mapembelo
-kamustaq
-mkazeze HAYA KAMA KIRUGHA CHAKO HAKUNA HAPA
TUPIA...
Wanabodi wa Chit-Chat.
Hii imemtokea jamaa yangu alikuwa na mpenzi pale chuo IFM baada ya kutapeliwa sana siku moja akampigia simu huyo binti mazungumzo yalikuwa hivi.
Kijana: Mambo vipi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.