Jamaa alikuwa ulaya akamtumia mama yake email:
"Mama nina UKIMWI"
Mama yake akajibu:
Usirudi kabisa kijijini mwanangu maana :-
Ukirudi wewe utamuambukiza mkeo,
Mkeo atamuambukiza kaka yako,
Kaka...
From Yahoo friends
Unajua nakuthamini zaidi ya rushwa na posho!
Bira ya wewe mimi siwezi kuishi, ni sawa na kukosa bunduki eneo ra tukio.
Nakuheshimu kama ninavyoheshimu rindo.
Wewe...
BREAKING NEWS: RIHANNA IS
PREGNANT CHRIS IS
RESPONSIBLE!!!! !!
Rihanna this morning
admitted to
being pregnant and said that
she is more than capable to
take
care of a child on her own...
Wakubwa na wadogo wake kwa waume, kwa masikitiko makubwa nawatangazia kuwa nimefiwa na mjomba wangu aitwaye DANIEL. Alifariki ghafla jana usiku na alikuwa amehamia na kuweka makazi sehemu za...
An 85-year-old man was requested by his Doctor for a sperm count as part of his physical exam.
The doctor gave the man a jar and said,'Take this jar home and bring back a semen sample...
Mdowezi mmoja alifumaniwa, mwenye mke akamloga nyeti zake zikatoweka akawa flat, ikabidi arudi home na kujifanya mgonjwa ili mkewe asijue. rafiki yake akamshauri akaombe msamaha ili arudishiwe...
Juzi bwana nipo mitaa ya mwenge kuna baa moja inajulikana kwa jina la carabash!
Akaja jamaa na Demu wake na gari loa dogo aina ya Vitz wakapaki pembeni mwa barabara karibu na mlango wakuingilia...
Si unajua bata dume anavyolia?kuna jamaa aliiba bata dume watatu,wale bata walikuwa wanalia sana.Katika kuua so hasikamatwe jamaa akawa anawajibu wale bata kila wanapolia.BATA "Ha,ha".MWIZI...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.