Kupokea like kutoka kwa charminglady
Ahsante sana kipenzi wa moyo wangu charminglady kwa kunigongea like kwa mara ya kwanza katika thread fulani hivi,....hii kwangu ni kama ajari ya kufa mtu,hii...
DIRECT TRANSLATION FROM
SWAHILI TO ENGLISH..
1)Wacha mchezo - leave sport
2) wewe ni kiboko yao - you
are their hippopotamus
3)nasikia kizunguzungu - am hearing english english
4)mahindi...
anaejua lini itatokea neema kwa wale waliofanya usaili tar1hadi5 maana watu tunakua na pressure mbili mbili mara ya kupanda mara ya kushuka,kwa anaejua tafadhari!
Habari zenu wana MMU, samahani kwa kutowawekea picha maana nilishindwa kuipiga faster na kuogopa kichapo pia, nilikuwa natoka lunch nikapishana na baunsa mmoja aliyekuwa amevaa fulana yenye...
BABA mzazi wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz', Abdul Juma amefunguka juu ya mrembo anayetaka aolewe na mwanaye huyo.
Akizungumza na paparazi jijini Dar, Mzee Abdul...
...na tena yawe ya dhati maana uzushi hautakiwi hapa. Iko namna hii:
Siku kadhaa zilizopita mimi na shemeji/wifi yenu Kongosho tulikuwa tunaangalia documentary fulani ihusuyo wadudu (could be...
The word 'politics' is derived from the words 'poly' meaning 'many' and the word 'tics' meaning 'blood sucking parasites',,
you can put a comment on that meaning.
Haya jamani mjionee mambo!!
MTU mmoja alifariki na kwenda jehanamu. Kufika huko akakuta kuna jehanamu tofauti tofauti kwa kila nchi. Akaamua kuzunguka zunguka ili aweze kuipata jehanamu yenye...
Ni msanii gani au mtu maarufu gani unampenda na kumchukia na kama unampenda elezea kwann na kama unamchukia pia toa sababu za wew kumchukia
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
"THIS IS VERY INTERESTING STORY OF MY LIFE"
......baada ya kulog in facebook inbox yangu ilikua inaonyesha kwamba una msg 2 moja ilikua inatoka kwa mdogo wangu akiwa ananijulia hali, msg ya pili...
Kuna bwana mmoja alikuwa kalala na mkewe mara mke akawa
anaota kwa sauti jifeche jifiche mumewangu anakuja. mumeakakurupuka
na kuruka akatokea dilishani akiwa na nguo ya ndani (ch#p) akiwa nje...
Night shift... just waiting for something to happen but nothing does...
usingizi unaninyemelea, nimeamua kuingia JF mara moja nichemshe Bongo
Leo nimefikiria sana. it doesnt happen often, so read...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.