JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nakosa hata pa kuanzia kutoa kilio changu toka kwenye mtima wange.... Naamini isingekuwa kuwa wewe sweetlady kunirubuni leo ningekuwa na furaha Isingekuwa wewe kuja kunitongoza kwa maneno matamu...
8 Reactions
60 Replies
4K Views
Nimeokoka na nampenda Yesu - 2 likes - 1 comment Najua ntafaulu mitiani yangu - 5 Likes - 3 Comments Leo lazima nichek Premium league - 10 Likes - 5 Comments Daah leo nimeduu na madem wa3 ila...
0 Reactions
0 Replies
965 Views
Jamaa alikuwa ameshika document anazisoma akiwa na mkewe kitandani mara akaanza kucheka sana!!!!!!!! mke akaamua kumuuliza mbona una cheka sana nini kimekufurahisha jamaa akamjibu nimefurahishwa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
[MUUZA DUKA];Oya,usivutie sigara hapa!. [MTEJA];Lakini si nimeinunua hapa hapa?!.[MUUZA DUKA];Ina maana hata ukinunua condom uta.......hapa hapa?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wanabodi, Napenda kutoa pongezi kwa wanafamilia wa Chit-Chat kwa kuonyeshana mapenzi makubwa na kuwa wamoja inapendeza sana...Copy kwa King Kong III, Asprin, Madame B...
17 Reactions
105 Replies
6K Views
Ningependa kujua ile Avatar inayomuonyesha jamaa kang'ang'ania mguu wa Police ni ya nani? Nimemsahau kidogo. . . . .
3 Reactions
24 Replies
2K Views
wasalamu Baada ya vuta nkuvute za uchaguzi wa miss chitchat katika ngazi ya Nusu fainaly yafutao ni matokeo:- GROUP A 1. Cute Kura = 4 2. Madame B kura = 23 3. nivea kura = 2 4. Preta kura...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
mimi kila nikiingia ktk intaneti napita ktk hizi sites 1.www.jamiiforums.com 2.www.soccernet.com 3.www.harusiyangu.com 4.www.yahoo.com 5.www.facebook.com leo nimekaa kutwa nzima ktk net mpaka...
1 Reactions
49 Replies
4K Views
1(3g+27)=3t soln 3g+27=3t 3g/3+27/3=3t/3 = g+9+t ans = G9t.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
huyu ni Tyra Banks......mweeeeee............ halafu mtu aniambie nisijipake......inahuuu....... copy kwa : lara 1.. cacico... charminglady... sweetlady... Kongosho.. CUTE...
4 Reactions
76 Replies
7K Views
Nilipewa mwaliko wa VIP......Nilikuwa nazunguka zunguka jana viwanjani (Tshirt ya mistari na nimevaa ID shingoni).... watoto wadogo wa kike may be age from 13 walikuwa wengi sana.... Wana Jf...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari ndio hiyo, leo tume dish biriani Bagamoyo ilikuwa shangwe kweli
0 Reactions
2 Replies
940 Views
Guy: "Between Me and the Toilet, Whom do you Love Most?" Girl: "Obvious its you, why do you ask such a Stupid Question??" . . . . . . . Guy: "Because you drop Your pants soo fast For...
6 Reactions
15 Replies
2K Views
Hello Chit-chatters.. Napenda ku-share japo kwa kifupi sana siku ya kwanza kulia kwa furaha.. Kitambo nilipokua fomu tuu kuna binti nilimpenda sana na nikawa namtengenezea mazingira takriban...
0 Reactions
0 Replies
802 Views
Hakuna kitu kizuri kwenye hili jukwaa la jokes/utani + udaku/Gossips kama watu ku-comment thread yako. Ukiwa kama ndugu/jamaa/rafiki/mdau wangu wa karibu, naomba uko-comment chochote kile ili...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Wale wanaopenda kuoga na Wapenzi wao wajitokeze hapa tufahamiane... .....Wengine mkitoka magendo mnanukia Mafuta ambayo hukuyapaka asubuh wakati unaenda... >.....Wengine Mkirudi kama...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
Natoa zawadi kwa wanaJF wote kwa kunipokea! Hii ni namba ya vocha y shiling el-...........mmmh csemi. Ingiza namba hzi ujaribu bahati yko ctaji ni mtandao gn. *104*34666425436.......#...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wez wawil wafanikiwa kuiba benk! Mwizi mwenzie akamwambia njoo tuhesabu hz mapesa! Jamaa akamjibu mi nimechoka ngoja mida watatangaza kweny TV hela zilizoibiwa!.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wewe unaesoma thread hii sura yako siyo ngeni machoni mwangu, ni wazi nilikuona mirembe
0 Reactions
54 Replies
6K Views
Mi sio Mdau Kiviiile wa JF ni vile tu nna Interest kadhaa humu hata ni kaactivate ID Sasa katika Forums Zote lakini hii Forum yenu Kiboko ...huweZ ku intervEne kwenye topic nyingi coz...
5 Reactions
122 Replies
6K Views
Back
Top Bottom