Ni kati ya Madame B[/USER] na charminglady[/USER] nani zaidi?
KUMBUKA
1. one member one vote
2. mwisho wa kura ni kesho saa tano kamili usiku
nawasilisha
UPDATES
Zawadi imeongezwa mshindi wa...
Wauza sura wengi wanaoremba na ku edit picha kwa photoshop ili waonekane warembo wanapenda fb, hawa wa jf sura ngumu kama jiwe la kusugulia masagamba ,usibabaike na hizo avatar..thank God its...
nadhani mnashangaa nimepotelea wapi kwa siku za hivi karibuni,
kweli tangu nije dar nimekuwa busy sana mpaka nakosa time ya kutinga JF, sio mbaya lakini kwani baada ya kazi uwa najitahidi...
Too bad gfsowin anauguza na Zinduna kaishia wapi sijui namkabidhi hii kazi Madame B naomba unifundie mume kaniudhi kwenye ule uzi wa lofa mmoja anajiita somebody utumbo
MTANISAMEHE KAMA IMERUDIWA...
Mimi nilifikiri Chadema wakorofi bungeni tu kumbe mp[aka hotelini..!!
Jana wakati wanakula walianza (Wenje) "mwongozo wa mwenye hoteli, chumvi haitoshi"
Mnyika...
ushindi wangu ni wa
uchafu kwenye vita ya
wasafi
kila nnayemuomba tafu
anataka afanye na ulafi
maisha ni kombolela masikini ndio mlinda kopo
cha msingi ni kuunga tela
mpaka utoke kwenye...
Funny+ lol
Osama Bin Laden himself decided to send George
Bush a letter in his own handwriting to let him know
that he was stil in the game. Bush opened theletter
and it appeared to contain...
[BOSS TO SECRETARY]
Jiandae kesho tuna safari
ya kikazi.
[SECRETARY TO HUSBAND]
Mume wangu kesho
nitasafari na boss kikazi.
[HUSBAND TO GIRLFRIEND]
kesho wife wangu
anasafiri,kuwa...
Mzee karudi kazini mwanae mdogo akamuwahi,
DOGO: Baba usiingie ndani kina jini chumbani kwenu
BABA: Hakuna kitu kama hicho
DOGO: Kweli baba kuna jini liko kwenye kabati lenu la nguo....Mzee...
Girl : why do you keep on following
me ?
Boy : because you are so pretty and i
think i am falling in love with you.
Girl : really ?...... but you haven't met my friend yet. she is more...
Ni mwezi sasa nikiwa Lupango,Isanga jana nimerudi nimepgwa butwaa my wife ana kilambo cha udongo wa pemba,limao za kutosha.chini ya Meza kuna kifuu cha kutemea mate..
Hiyo kitu sijui ni yangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.