Zuzu mmoja alikuwa anaumwa sana,akaamua kueka
picha ya daktari kwa ukuta wa chumba chake. Ghafla akatembelewa na marafiki zake,walipoona
picha ukutani wakamuuliza,"Hio picha ukutani ni ya...
Afisa mkaguzi wa misuti alizuiliwa kuingia kwenye msitu mmoja alioenda kukaguwa. Mlinzi akamwambia "time hizi haturuhusu watu kuingia msituni". Jama akamtolea kitambulisho na kumfokea "Wee...
Kuna jamaa mmoja alimtia mimba mwanafunzi na maongezi yao yakawa hivi
MWANAFUNZI:Mimba sitaitoa Dear wangu............. na usijali kuhusu nyumbani kwetu na familia yetu poa tu
JAMAA:Kwani wazazi...
Kwenda kwa: Bill Gates, Microsoft
Kutoka kwa: Zuzu, Tanzania
Tarehe: 1 Oktoba 2012
Yahusu: Matatizo kwenye kompyuta yetu mpya.
Ndugu Bill Gates,
Anko wangu amenunua kompyuta mpya kwa ajili ya...
Watu 3 walipangisha hotel ya gholofa sitini na walipata vyumba gholofa ya mwisho walipanda kwa lift na asubuhi wakashuka na lift jioni walipotoka kwenye mihangaiko yao walikuta umeme umekatika...
Nasikiliza hapa redio ya wafu,,
Daaah uyu dj wa uyu msanii anaojiwa kasema kaambiwa akija apa lazma arudi na tanzanite rock..
Hehehe njoo ujichimbie,,ni wewe tu na kijiko chako
Awe makini na vijana watakao mshobokea, yasije mkuta kama 50 cent au mwanamuziki mwingine yalimkuta Kenya, jamaa aliishia kusema f..aki! Ila wajanja wa mjini wameshasepa na cheni ya dhahabu.
Kuna wageni wanaotarajia kuwasili hivi karibuni na hii ndio orodha yao
David Kinembe ............................................... Kenya
James Kakumah...
Mchaga kaopoa Mtoto wa pwani, kufika guest Mtoto kavua Nguo shanga kibao kiunoni MCHAGA : kibo ndeshafoo Yesu na maria hizi Rozari zote zimeibiwa parokia gani?
Mm Nilifikiri Chadema Wakorofi Bungeni tu, Kumbe Mpaka Hotelini.!!
Jana wakati wanakula walianza (Wenje) Mwongozo wa Mwenye Hotel, chumvi haitoshi.
Mnyika: Taarifa Mheshimiwa., Mchuzi...
Baba;kwani kwa jirani leo kuna nin?Mama;sijui kuna Birthday!Baba;Amezaliwa nani??Mama;sijui TUYU!Baba;TUYU ndo nan?Mama;Hata mimi simjui ila nasikia wana piga kelele alafu wanasema "HAPPY birthday...
How to take care of your wife:
In the world, one single rule applies to the men: Make the Woman happy. Do something she likes, and you get points. Do something she dislikes and points are...
Mke alipanga na mpenzi wake kwenda guest house fulani kuvunja amri ya sita. Walipofika
reception wakati wanasubiri chumba kitayarishwe, mume wa yule mwanamke akatoka na
mpenzi wake katika chumba...
niPM,ukitaja jina lako halisi,jinsia,wajihi,elimu,your sexual preferences,fantasy zako,marriage status,akaunti namba yako,namba yako ya simu,jina la sheha wako,kinywaji ukipendacho na ueleze kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.