wanajamvi najua humu tuna wataalamu wa aina mbalimbali, naombeni msaada wa namna ya kuweza kudownload picha za still, video na miziki kwenye mtandao kwa kutumia laptop au simu. asanteni sana.
binafsi napenda sana kuwaheshimu hawa wasaidizi wa ndani maana ndo wanaobeba majukumu yote ya familia kuanzia asubuhi hadi usiku,kiusalama na kila kitu ndani na nje ya familia.nilichokiona leo...
Kuna gazeti nimesoma yani nimeishia kucheka tu, lakini ni vinatokea kwenye jamii yetu, ni kuhusu watu waendavyo misibani, mana watu wanaenda kuonyeshana nguo, magari ya kifahari, mitindo ya nywele...
Tujaribu ku-create story fupi,unaendeleza kutunga story fupi kwa kureply pale mwenzako alipoishia,na umwachie mwingine aendelee (kupokezana),unaweza kuandika mstari mmoja,miwili au hata tatu...
Ni kuhusu charminglady ,Yaani nimejaribu kujizuia ili nimsahau imeshindikana.
Bado nampenda,ntaendelea kumpenda.Anaye weza kunisaidia kumpata huyu mdada natangaza donge nono.
Kuna tetesi zinasikika mjini kuwa kila mara viongozi wa kitaifa wanapo kuwa ziara mahali,basi huandaliwa vimwana kwa ajili ya kuwaliwaza.
Je,tetesi hizi zina ukweli kiasi gani?
If your phone number ends wit
0- u are a trouble maker
1- u are very kind
2- u are very funny
3- u are intelliGent
4- u are sincere 5- u are careless
6- u are neat
7- u are handsome/...
Nauliza hivi..hivi wadau woote wa haka kajukwaa,kama imewezekana kwenye magari kupata 'plate number' ambazo zinaonyesha majina ya watu,je siwezi kupata price ya kuweka "tag" ninaitaka mimi....kwa...
Jamaa flani alikuwa akisafiri kwa taxi,akapita kwenye bar mmoja yenye geust house akamuona mke wake akiingia ndani ya hiyo bar.
JAMAA:"Dereva hebu simamisha gari....unataka elfu moja ya chapchap?"...
Leo naenda hospitali kupima miwaya.Sina jinsi kuna mtu nimekuwa nikimpiga chenga mwisho kanambia ama nipime au mi na yeye basi.Jaaaaaasho linantoka ndo najiandaa kwenda TMJ hospital,mkiona...
Katika vitu vimenihuzunisha ama sijui niseme vimeniskitisha! Whatever ni pale nilipokutana na Babu kwenye Sredi iliyoletwa hapa jamvi jana, yenye headin "Yanga Vs Simba".
Katika kuchangia kwetu...
Mwalimu: Nane kugawanya kwa mbili ni ngapi?
Mwanafunzi: Ni sifuri. Maana nane (8) imeunganishwa na sifuri mbili.
Mwalimu: kaa chini
Mwanafuzi: ngoja nijaribu tena. Ni tatu (3) maana ukiweka...
Jamaa mmoja alimfuatilia Mrembo fulani kwa muda mrefu sana na maranyingi akawa anamuomba wafanye mtoko japo mara moja ili waweze kuongea kwa faragha. Kwa bahati mbaya yule mrembo akamwambia Jamaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.