JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
ISIJEKUWA KAPELEKWA MABWEPANDE AU KALA BAN? arabela, amyner, bishanga, c.6, charminglady, asprin, bishanga, madame b, kongosho, king'ast, erickb52, cacico, denaamsi, jamani ambao sikuwataja...
3 Reactions
167 Replies
8K Views
Hakika hakuna jukwaa lenye burudani kama hili, kutoka moyoni najivunia kuwa sehemu ya jukwaa hili! Baada ya dibaji hiyo sasa ladies & gentlemen bila kutaja jina wala ubaguzi wa majukwaa PIA MODS...
6 Reactions
51 Replies
3K Views
Wakuu, Kuna kijana mmoja huko Mufindi aliulizwa siku yake ya kuzaliwa. Yeye alijibu kuwa juzi alikuwa na miaka 25 na mwaka kesho atakuwa na miaka 28. Swali Je huyo kijana alizaliwa tarehe...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Yani sina hata wiki mbili chuo lakina nshapata demu duh thank god!
0 Reactions
46 Replies
3K Views
Umofia kwenu wana Chitchat!! Kuna hii minguo ya kina dada ina mistari mistari kama ya pundamilia zipo rangi tofauti tofauti zipo kama dera yani kila kona lazima kati ya madada 10,7 wametinga hayo...
2 Reactions
29 Replies
5K Views
Hatimaye Mshindi wa Chitchat mwezi october amepatikana naye si mwingine ni Miss Madame B Washindi wote wamepewa zawadi zao na tunaomba wadhibitishe kama wamepewa zawadi zao kupitia thread...
2 Reactions
34 Replies
2K Views
Mtalii mmoja alishuka airport akakodi taxi, ......... wakiwa njiani kelekea mjini dereva wa taxi akajamba shuzi kali muda kidogo dereva taxi akamuuliza mtalii ...unaionaje hali ya hewa? ... Mtalii...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jamani hodi hodi..? Leo napenda mnieleweshe kwani Usomaji wa Majira ya Saa kwa ki inglish uko hivi.. Saa 1:00 asubuh English ni 7 :00 am Saa 2:00 Asbh Englsh ni 8:00 am Huu ukaririshwaji...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Heshima kwenu wadau, Nipo safarini kwenye dala dala naenda kumcheki mwana Tandika.. Mbele ya dala dala kwa ndani kuna bonge la tangazo " ukisinzia tunakusachi" na kumcheki huyo konda...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Leo kanisani ibada inaendelea, muda wa sadaka kapu linapishwa kila mtu akatoa sadaka, ila jamaa mmoja alipokea kapu akampa mtu wa mbele yake bila kutoa, mzee wa kanisa kamuuliza vipi we mbona...
3 Reactions
14 Replies
3K Views
Mwanasheria mmoja alienda porini kuwinda, akampiga swala risasi lakini swala akakimbia na kuingia katika kibanda cha mzee mmoja... Mwanasheria: "Mzee kuna swala wangu kaingia kibandani kwako...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
kwa wale wakina ruttashobolwa wanaita matoke au wale wakina mangi wanaita machalali. Karibuni sana.
0 Reactions
9 Replies
973 Views
eti jamani Hawa na Adam wasingezaliwa waarabu,wangezaliwa wachina si wangemla yule nyoka badala ya kulila lile tunda? na leo tungekuwa na maisha tofauti na haya!
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Wana chitchat wenzangu naomba kura zenu kwa mrembo @charminglady katika kinyanganyiro cha miss chichat october Nenda kapige kura kwenye thread ya kupigia kura iliyo anzishwa na Lundenga wa CC...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Hello Kottler Masoko, We at JamiiForums would like to wish you a happy birthday today! It's a special day in your life and NOT just a year older, but a year better! Wishing you all the great...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Natumia nafasi hii kumpongeza Madame B kuwa miss chit chat. kama nlivyo sema mwanzo. Huyu binti alistahili kushinda hili taji. Wale ambao kura hazikutosha msiumie sana kwani mwezi ujao huwezi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Baada ya wadhamini kujitokeza zaidi sasa zawadi imeongezwa nenda kapige kura sasa kwenye thread husika.
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Ukijiona MJANJA kwa kuanza kupendwa jua kuna FALLA katendwa..... Na ukiona unaanza kutendwa jua kuna MJANJA kapatikana. which means wewe ni FALLA Don't worry just a love cycle
1 Reactions
10 Replies
2K Views
HOW SMART ARE YOU? Sherlock Holmes was having an early walk. He had just crossed a bridge when he saw a crowd of people. Rushing to them, he found that they were crowding around a dead woman...
1 Reactions
30 Replies
2K Views
Ulisingiziwa mara ya mwisho lini? Kuhusu nini? Mwisho ikawaje?
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Back
Top Bottom