Hko kijijin kuna mzee mmoja alienda kanisan akiwa amejiandaa kwa wk zima sadaka ya sh. 200 kumbe hpo kanisan et hawana kawaida ya kutoa salaf, kwao ni noti tu i mean kuanzia 500,1000,2000,5000 ama...
Nitakwenda kwenye fiesta...
Nimefikiria ka kina sio kukurupuka nimeamua nitakuwepo kwenye viwanja vya lidaz kujirusha kwenye tamasha la fiesta....cant imagine nakwenda ona vile vitoto vibiichi na...
.[MUME]:Wife mi naona unanizingua,nimechoka kuishi na wewe,nabeba begi langu naenda kwa nyumbani kwa mama yangu.[MKE]:Ebo,tabu ya nini,mimi mwenyewe mama yangu yuko hai,nami naenda nyumbani kwa...
PASTOR:"Bwana asifiweeee!"
WAUMINI:"Ameeeen."
PASTOR:"Haya,tafadhalini sasa toeni;iPad,tablet na simu zenu,ingieni google msearch Yohana 3:16 msome.Pia washeni bluetooth zenu ili muweze kupokea...
Jamaa kaenda hospital akiwa na matatizo ya ugonjwa wa moyo, dokta baada ya kumchunguza akabaini moyo haufai.
Dokta akaamuwa kumfanyia operation na kufanikiwa kuondowa kabisa tatizo lake. Baada ya...
Jamaa mmoja aliibiwa simu kwenye daladala, ila kutokana na utozi wake (usharobaro) akaona aibu kumwambia jirani yake aibeep ili ajue inalilia wapi.
Basi akamwambia dereva wa dala dala "hebu...
Maswali na Majibu Darasani:
Mwalimu(Mtanzania Halisi: Leo tutajifunza hesabu za sehemu. Tunaanza na Juma. Enhe, Kiazi tukikikata katikati tunapata nini?(anakikata kiazi sehemu mbili zilizo sawa)...
ndugu zangu wanachit chat ni nyimbo gani unayoipenda? Au inakuliwaza ukiisikiliza? Mi napenda:
Nikita - Elton John
Sacrifice - Elton John
Lady in Red - Chris De Burgh.
Mwalimu alikuwa anafundisha somo la Geography bahati mbaya chaki ikadondoka chini hivyo akaona ainame na kuiokota mara akajamba kwa kuona aibu kwa wanafunzi akatoka darasani na kurudi nyumbani...
Hi Ladies,
Mamas & Totos inayofuraha kukuletea New Collection ya nursing scarf
Zinapatikana katika style na rangi tofauti . Ni kwa ajili ya wamama/wadada wanaonyonyesha ukitaka kwenda na wakati...
Nilipomuuliza anamaanisha nini akasema kuna mashosti wake wanammezea mate wa ubavu wake, na ameona hii ndio njia nzuri yakufikisha ujumbe. Unajua ni nani......????
Wapendwa wana chit chat kuna huyu memba anaejiita Arushaone .......daaaah jamani sio mchoyo wa kutoa like......hebu na tumpe hongera zake manake hana mpinzani chit chat na majukwaa mengine kwa...
A boy was in a taxi eating chocolate,then he took another one then a man next to him
said"do u know that chocolate will damage your teeth" the boy replied "my grandfather
lived 132yrs". The man...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.