Nikiwa mwandaaji wa mashindano ya miss chitchat,nimekabiziwa zawadi maaalum toka kwa miss chitchat sept miss Remmy niiwakilishe kwa wana Chichat ikiwa ni sehemu ya majukumu ya utekelezaji wa...
Jamani katika vitu ambavyo leo au kipindi hiki ninawaomba sana wa chitchat wenzangu ni hili swara la kura ya miss chitchat.ninawaomba kwa heshima na taadhima upige kura yako kwa charminglady...
Hellow dear.unajua nilipokuona kwa mara yakwanza nili vibrate kama nokia ya tochi.naomba unipe ushirikiano nataka ni install penzi langu ktk hard disk ya cpu yako.nimekuwa mvumilivu kwako kama...
Mu-hali gani wana chitchat. binafsi niko salama salimini.
hivi ushawahi kutapeliwa? mie nshawahi tapeliwa sh. 400/= kwenye vile vibahatinasibu vya mchezo wa viberiti vitatu. wanachanganya then...
Mara network search, sijui eti network connected near ileje, system search near tunduma...failed to load near tukuyu, near near near near acheni ushamba nyie
hii nimeiona baada ya kuona thread kadhaa za ki-MMu zikiwa CC na pia MMU wengi ndio hao hao CC
proof hii hapa
https://www.jamiiforums.com/jf-chit-chat/241674-jf-couples-new-version.html...
Heheheiyaaa, maisha plus ndo hiyoo inaanza. kuna vituko, vimbwanga na vichekesho vimesheni.
1. kuna dada mmoja kaulizwa we kabila gani akajibu ye muislam
2. mwingine kaulizwa ana miaka mingapi...
Tajiri mmoja wa Hongkong ametangaza dau la dola milioni 64 kwa mwanamume atakayemuoa binti yake ambaye ni msa.gaji (lesbian) Utajitolea?
Kwa habari zaidi: Bonyeza kizenji hapa
Ni tetesi au habari zipi unazokumbuka ambazo zilivuma sana enzi hizo lakini hazikutokea.
Mfano:
W
1.Mwisho wa dunia ni mwaka 2000
2.Hairuhiswi kwenda posta na kandambili, endelea na wewe hapo...
Napita hapa kwa profile yangu ya JF (huwa ni utaratibu wangu kila mwisho wa wiki) naona warembo wengi walipita kunitazama, sijui pozi langu ndo limewakosha?
Ila hawa mabibi hawaachi lolote la...
Wapendwa nimewakumbuka sana na nimeona walau niwasalimu kwa pamoja coz mmekuwa adimu sana jukwaani.
Kwanza naomba sweetlady , BAGAH beibe nasty cacico popote mlipo mpokee salamu zangu za pekee
Pia...
Nimeamini raha ya upendo ikipotea huwa karaha!
Sikutaraji kama leo hii nitabaki na jeraha!
My number one fun tatizo ni wewe umefanya anitose!
Wakati bado nampenda nafsi imejaa upendo wake...
kuna kitu kinanitatiza sana mashoga wana mtihani mkubwa sana,wanapo pelekwa gerezani kwa makosa ya jinai huwa wanawekwa maabusu ya kike au ya kiume?maana akiwekwa mahabusu ya kiume itakuwa kama...
Movie inaitwa SAFE
Imechezwa na Jason Statham na kibinti kidogo cha kichina chenye uwezo mkubwa wa mahesabu na kumbukumbu. Ni action movie na kama kawaida ya Jason ni yule yule kama alivyo kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.