Jamaa mmoja alikuwa anavuta bangi,sasa kwa bahati mbaya msokoto ukazima.alikuwa na njiti 3 za kiberiti tu zimebaki. akijaribu kuziwasha,
1 na 2 havikuwaka.bahati nzuri cha 3 kikawaka...
Fisadi mmoja katili sana alikuwa kamuajiri mhasibu bubu, kiziwi. Alifanya hivyo ili kulinda siri za mapato yake. Siku moja akagundua kuwa kuna kama shilingi milioni mia moja zimeibiwa...
Salam
Nipo kwenye basi, naenga home likizo (Ushongo, Tanga)
Naenda kumuona Anti yangu AshaDii karudi Nyumbani
Sasa hapa next to me kuna dada fulani, msafiii, mzuriii
Ana Samsung Galaxy III...
A 50-something year old white woman arrived at her seat and saw that the passenger next to her was a black man.
Visibly furious, she called the air hostess.
'What's the problem, ma?' the...
Wakuu, nimepata dharura. Naelekea kumsalimia mdogo wangu huko marekani. Kahalika naenda na mpwa wangu ambaye anaedna moja kwa moja. Naombeni kuwauliza bei ya Ticketi kutoka Dar hadi NY au Kutoka...
Mhaya aliingia baa akaanza kuagiza vinywaji huku akiwa nasimu ya nne! Akaagiza heineken baridi. Wee mudada hebu kuja hapa, leta ile bia yawazee! Leta Heineken baridi kwa kweli! Mara simu ikaita...
bibi alikua anafua nguo za mtoto ake aliekufa na ukimwi xa katika kufua akakutana na BIKINI bibi akahamaki akasema duu! huu ugonjwa mbaya xana unakondesha hadi CHUPI!
Ndugu zangu huwa najiuliza
.kama duniani wanaume tungekuwa peke yetu maisha yangekuwaje
.alieshauri fedha itumike katika kupata huduma na bidhaa alifikiria nini
.kwa nini almost races zote ni...
Hahahahahaaaaaaa, daaaaaaah, kwanza nicheke kwanza.... Duuuh!!!!
Nimeisoma barua hii kwenye gazeti moja jamaa anaomba ushauri, kaandika hivi;
Shangazi May,
Tafadhali nipe ushauri katika...
Sharo alikuwa ndo kwaaaaaaanza kafanikiwa kupata mkoko wake mpya baada ya kutoa visingle vyake viwili witatu, akawa na hamu kweli aende nalo Leaders akawakoge masister duuuh nini...
Wakati...
Siku moja baba na mama na watoto wao wawili (kike na kiume) wakiwa kwenye chakula cha jioni, baba na mama wanabishana kuhusu nani kati yao ni muoga. Ndipo baba akaamua kuwashirikisha watoto ktk...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.