JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
hamjambo humu ndani? Nimemkuta babariz wa mtaa huu naombeni munikaribishe hapa kwenu pamenivutia sanaaaaaaaaa.
2 Reactions
93 Replies
4K Views
Muhindi mmoja alikamatwa na polisi akikojoa barabarani na kutozwa faini 50,000.Yule muhindi akatoa bila ubishi...polisi kucheki vizuri akakuta niaje niaje pandre bhai katoa 55,000 badala ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Unakuta Wazazi wanawachagulia Majina Watoto wao Then Watoto wakikua wanayabadili pengine kwa kutoyapenda ukilinganishwa na ya Watoto wenzao na kuna pindi huyabadilisha ili yapendeze n.k Majina...
0 Reactions
2 Replies
916 Views
Eti mwiz aliingia ndan akaiba, wakat anaondoka dogo akamdaka mguu, akamwambia usipochukua na beg langu la madaftari napiga kelele.
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Uko kimya sana Mkuu. Ulifanikiwa kupata Shahada yako? Ajira je? Funguka Mkuu. Umekosekanaje...
0 Reactions
0 Replies
702 Views
ukiwa kama mwana JF hebu chukulia JF tunataka kutengeneza katiba yetu, ni jambo gani ungependa liwepo na jambo gani lisiwepo? Karibuni mtoe mawazo yenu'...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Watu says:
0 Reactions
0 Replies
2K Views
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Heshima yenu wakuu. Kwa wiki sasa sipati matangazo ya tv baada ya dishi langu kupoteza chaneli. Sasa nina mpango wa kununua king'amuzi, lakini kabla ya kuingia huko naombeni ushauri kwa mnaotumia...
1 Reactions
36 Replies
5K Views
Ni mchana tulivu wa Jumapili hii, nimekumbuka mbali sana nikaamua tushee hii habari, kila nikiangalia vijana wa siku hizi wanaofanya miadi kwa simu naona kama vile wanamisi utamu fulani hivi...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Headline lipi leo unazo mtaani kwako? Me nipo ukweni leo
0 Reactions
17 Replies
1K Views
hebu cheki li avatar la bishanga,dah,linanuka hela! ole wake m chit chat yeyote nimkute karemba avatar yake ifanane na ya bishanga,na la ikitokea nitanunua u diamond member ( sh milioni kumi kwa...
7 Reactions
161 Replies
9K Views
To my fellow mdau "Wakati ndiyo sasa" If Charminglady she does not care why should you? Don't keep fighting for someone who will not fight for you in return ! Life is too short mtu wangu ...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Jamani nimepigiwa simu na rafiki yangu anaye julikana kwa jina la wakati ndio sasa kanituma niwataalifu wanachitchat kuwa kuanzia leo amepigwa ban hadi tarahe 9 Sept hii imetokana na kuchangia kwa...
1 Reactions
38 Replies
3K Views
Ukiwa huna KAZI unatafuta KAZI ukipata KAZI unaona KAZI kufanya KAZI sasa acha KAZI uone KAZI.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Its amazing who is Jesus? In chemistry, he turned water to wine, In biology he was born without the normal conception. In physics, he disproved the law of gravity when he ascended into heaven...
2 Reactions
3 Replies
950 Views
m*oo alimtembelea k*ma akawa analaumu huku kwako siji tena kwanza kuna GIZA UTELEZI JOTO KALI hataHEWA SIPATI yani kila nikija NATAPIKA K*ma akajibu nyooooooooo!unalalamika nini uongo tuu kwani...
0 Reactions
0 Replies
804 Views
Mmarekani, Mhaya naMjapani walikutana ndani ya Sauna kwenye Hotel ya Hilton Manhattam Jijini NewYork. Wote wakiwa uchi wakifurahia unyunyuunyunyu wa kwenye Sauna. GhaflaMmarekana akafanya kama...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Katika utafiti wangu wa muda mrefu nimegundua neno MONEY au FEDHA likawa neno lenye m'badala wa maneno mengi similar kulikusu, labda kuliko maneno yote katika kingereza na Kiswahili . Vinginevyo...
0 Reactions
49 Replies
4K Views
Happy friday Buddies.
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Back
Top Bottom