Nimekuwa nikijaribu kufikiria maisha ya nyuma niliyoyaishi na ya sasa na naona kama kwa sasa nipo kwenye ulimwengu tofauti kabisa. Nimezaliwa na kukulia katika mazingira ya kawaida, ambapo...
Boy: Marry me .. ?
Girl: Do you have a house .. ?
Boy: No..!!
Girl: Do you have a BMW car .. ?
Boy: No..!!
Girl: How much is your salary .. ?
Boy: No salary.. but,..!!
Girl: No but. u have...
Wanachitchat hamjambo? Muda mfupi uliopita nimepokea simu kutoka kwa Erotica akiwa Oldonyo Sambu alikoenda kwa shughuli muhimu. Afya yake iliimarika vizuri ndo maana aliweza kusafiri. Alitaka...
Za sahizi wana jamvi, mi leo ni salama salimin ila tuu kichomi kinanisumbua kidogo mda huu,
Tuache hilo tuje hapa mi ninapata wakati mgumu haswa pale nimsikiapo mtu akilalamika kua hajaliwi...
Ilikuwa mara ya kwanza kwa Bimkubwa wa kichaga kuvinjari hotelini basi akajikuta ameketi karibu na wazungu,waiter alipofika na kuwauliza awahudumie nini,Mzungu wa kwanza mwanamme akajibu JOHN...
Hi Guys..... respect..
I may travel to Nairobi by end of the week..
I would like to be furnished on affordable hotel accommodation, preferably in the heart of Nairobi, a secure location, good...
From Yahoo friends
Wife comes home late at night and quietly opens the door to her bedroom, from under the blanket she sees four legs instead of two.
So, she reaches for a baseball bat and starts...
Mr Omollo was starved of sex because his wife had just given birth.
One day, the wife said, "my Love, I know how u must be feeling because of my condition; pls take this tsh 2000 and look for...
Vichaa watatu waliamua kutoroka hospitalini Mirembe kwenda dodoma mjini wakiwa wamepeana majukumu tofauti tofauti, kichaa mmoja jukumu lake lilikuwa ni kuhesabu magorofa yote yaliyopo mjini, wa...
Jamani juzi jioni mishale ya saa kumi na moja nilikuwa na rafiki angu wa kike,alipenda kupiga picha mbili tatu kwa hiyo akaomba tutafute maeneo mazuri na yakuvutia, kwa kihelehele changu nikaenda...
Za jioni wana chitchat, mwenzenu niko vibaya, nina mawazo sana na cjui kama ucku wa leo nitapata usingizi, so naomba mwenye hadithi ambaye hatachoka kutype au kubofya aniandikie niwe nasoma wakati...
How are you al chitchatters?
Kuna thread za mapenzi nimezifuatilia hapa chitchat kwa muda sasa, na zimenithibitishia kwamba mtu akipenda, halafu akakataliwa, anachanganyikiwa na kutia huruma...
Nina imani walio tutangulia wana uwezo zaidi kuliko sisi kwa kila kitu! Maana wazee wetu walio tutangulia walikua na pa kukimbia kufanya mitambiko! Mwenye wazo tofauti please!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.