JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kuna shoga mmoja siku moja alienda disko mara ukapigwa ule wimbo wa Msondo Ngoma.....''WANAUME TUMEUMBWA MATESOO KUHANGAIKA''.....akajisemea ''Mimi nilijua tu ndio maana nikajitoa mapema''
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Daktari alimpata Chizi flani mtaani(chizi alikuwa katoroka hospitalini).Daktari akamwuliza, "Mbona we hauko hospitalini na wenzako?"Chizi akajìbu, "Wale wenzangu wapo boarding.mie nipo Day"
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Mfano:.............Mtu asiyeweza kupigana anamwambia anayeweza..."..Yaani leo nitakupiga wewe!!!!!Kama sitakuua utalazwa mortuary"...........ile wanaanza kupigana tu,jamaa anapigwa ngumi moja hadi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Can someone help me to get laundry tags here in Tanzania?
0 Reactions
1 Replies
758 Views
* JESUS has 5 letters, but so does SATAN * HATE has 4 letters, but so does LOVE. * ENEMIES has 7, but so does FRIENDS. * LYING has 5, but so does TRUTH. * HURT has 4, but so does HEAL. *...
9 Reactions
92 Replies
8K Views
Watu wa dodoma mnanitengaaaaa niko pub moja inaitwa master hapa yoyote aliye karibu
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mzee mmoja bahili karudi nyumbani kwake akaanza kuwatembezea watoto wake bakora, watoto kuuliza kwa nini mzee anawachapa bakora? mzee akawajibu mna matumizi mabovu nyinyi mpo watatu mnawasha fan...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wana JF dodoma tukutane wapi leo kula bata......??
0 Reactions
3 Replies
739 Views
"MSICHANA WA MIAKA 18 MWENYE CHAT ID 519168 AMEPENDA PROFILE YAKO NA ANGEPENDA KUONGEA NA WEWE. ILI KUONGEA NAE PIGA 0901901901" asee nyie TIGO bana acheni mambo yenu kuntumia hizi meseji zenu...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Wapendwa wana Chit-Chat wote, bila kujali mitazamo na mapenzi ya watu, nimeamua kutangaza VITA rasmi na kiumbe mmoja anaejiita Bishanga kwa sababu maalumu na naomba wapenzi wake mnielewe na...
5 Reactions
61 Replies
4K Views
Jamani wanajamvi leo nakuja kwa namna hii, demu wako kwanza kabisa alikua nani hasa la nyumbani?
0 Reactions
23 Replies
4K Views
0 Reactions
6 Replies
1K Views
MUME: kuna tangazo limetoka kila mtu mwenye watoto kumi atapata zawadi ya gari na nyumba MKE: Lakini sisi tuna watoto 8? MUME: Samahani mke wangu..nina watoto wawili wa nje naenda kuwachukua...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Wafufuatao mnaomba kufika kwa KakaKiiza kabla ya saa tisa jioni naninaomba ambao sijawa taja tusubiri EID Pili!Asanteni Invisible PakaJimmy mtu chake Rutashubanyuma Erickb52 Kongosho BADILI TABIA...
12 Reactions
18 Replies
2K Views
Mzee mmoja alipata fununu kuwa mke wake mbabe anazini na jamaa mmoja hapo kijijini kwao. Basi akamua kufanya mtego wa kisafari. Alimuanga mkewe asubuhi na mapema kwamba anakwenda safari kijiji...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Siku moja usiku jamaa mmoja na mkewe wakati wakiwa ndani wamepumzika walisikia nyumbani kwa jirani yao wanaimba wimbo na maongezi yao yakaanza kama ifuatavyo; Mke:Mme wangu,kuna nini kwa majirani...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
1. Kijiko ulichotumia kula chakula kimelambwa na mbwa aliyetoka kula konokono muda si mrefu... 2. Upo nyumbani na mkweo, ghafla ukiwa umetoka bafu la uwani kuoga mwanao mdogo anakufuata kwa...
0 Reactions
2 Replies
717 Views
...anaeifahamu hyo style yupo...
0 Reactions
51 Replies
4K Views
Katika hali ya kushangaza mtaalamu wa JF Invisible amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya soma kusuduio la kupelekewa walanti wakukamatwa na kupelekwa The Hague (ilipo mahakama ya uhalifu ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
And Yu...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Back
Top Bottom