JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Watu wangu dodoma mpoooo niko sahem moja inaitwa area d ila bdae ntakua chako ni chako
0 Reactions
21 Replies
2K Views
mwenye kujua muda ambao rais obama atahutubia anijuze maana nataka kumsikiliza na itakuwa cnn au msnbc?samahani kwa usumbufu wakuu
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Kwa yeyote mwana-CHIT CHAT anayeguswa na matatizo ya watu na mwenye moyo wa huruma tafadhali seriously leo Ijumaa mwenzenu nimekwama nina matatizo..................naomba msaada wa fedha kiasi...
3 Reactions
42 Replies
2K Views
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Eti,kwenu wenzangu na mie (mliosoma shule za wavulana watupu au wasichana watupu),mlikuwa mnapata wapi 'huduma'?
0 Reactions
28 Replies
2K Views
Najua umenisahau. Naitwa Andekelile Lupakisyo Ambindwile Mwambalakata mtoto wa Afwelile Ambwene Mwakisujeje Mwakasokela anko yake na Asangalwisye Mwalunyasyo rafiki wa Bakangana Bukenja...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Upandapo Daladala: Nitakupa!, atakupa mbele!, hujapewa mbele?, utapewa nyuma!, nitakupa nikikaa vizuri!, ngoja isimame nikupe!, subiri asimamishe upewe!, hivi nilivyokaa nitakupaje...
2 Reactions
16 Replies
4K Views
Jamaa wawili walikutana kwenye kituo cha basi wakafanya mazungumzo. Mmoja aling'ang'nia kuzungumzia kero za familia yake hatimaye mwenzake akasema " Unadhani familia yako ina matatizo?" Basi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mr. Grey wa walking with Mr. Green and Mr. Brown. One wore a grey tie and one wore a brown tie. "Do u realise, gentlemen, that although our ties have colours that match our names, but no one of us...
0 Reactions
0 Replies
870 Views
Hali ya hewa ni nzuri, hamna joto
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Kuna mume na mke walikuwa wamelala pamoja usingizi mara mkewe akashtuka usingizini na kusema mume huyo anagonga mlangoni, mume kusikia hivyo akakurupuka na kuruka kupitia dirishani na kutokomea...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
cacico BADILI TABIA charminglady na Kongosho na wengineo naombeni majibu.
3 Reactions
122 Replies
8K Views
za asubuhi wanachitchat kwakweli iman yangu imeniponya maombi mliopiga bas ndo yamenifanya leo niweze amka mapema na mwenye afya tele napenda kuwashukuru sana kwa mapenz yenu kwangu hasa my shem...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
'Panya watatu wabishana nani bigwa; wakwanza adai mimi maisha yangu yote nimeishi kuiba store lakini cja wahi kushikwa,wapili adai wacha hiyo mimi nimekunywa sumu mara kadhaa na cja kufa,wa...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Mwl: We JUMA unacheka nini? JUMA: nimeona paja lako mwl! Mwl: Huna adabu toka na usirudi hadi kesho. Mwl: Na we ALLY vipi? ALLY: Nimeona kamba ya bikini yako. Mwl: Shenzi, toka na usirudi...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ni rahisi sana. Jaribu katika kila neno ongeza neno "RWE" tena ukitamka kama uk vile nadhanirwe mmenipatarwe, jariburwe utaparwe utamurwe
0 Reactions
42 Replies
5K Views
Baba mmoja alikuwa na mtoto wake wa kiume akawa anataka kumlea ktk maadili mema ili asifuate ya dunia. Siku moja mtoto alikuwa akicheza na wenzake, mara wakakorofishana mwenzake akamtukana...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
hahahaha, " una maswali mengi kwani wewe ni polis?! " --Ameimba DNA wa KENYA hii mistari ya mwimbo huo huwa inanifurahisha sana, kila nikiisikia huwa inanichekesha! mistari ya nyimbo gani na wewe...
1 Reactions
14 Replies
5K Views
Dada mmoja alipata matatizo wakati alipokuwa anakojoa na akawa anaona mambo mageni ikabidi aende kwa daktari na mazungumzo yalikuwa hivi: DADA:Daktari mi nikikojoa mkojo ukimalizikia uwa na...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Kuna mama mmoja alienda supermarket kununua mafuta ya mtoto wake mdogo Mama:Niuzie mafuta ya kumpaka mtoto Muuzaji:Baadhi ya akina mama hununua mafuta ya watoto na kwenda kupaka wao,kamlete mtoto...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom