JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
goog
0 Reactions
10 Replies
3K Views
hahaaaaaaaaaaaaa, ni jamaa mmoja wa apo karibu na chanika
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mzee mmoja alipanda kwenye daladala na kubahatika kupata siti, lakini baada ya muda akagundua kuwa simu yake aloiweka mfukoni imeibiwa, basi akaamua kumuomba jirani yake kwenye siti aibipu namba...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mmsaai Akibembeleza
0 Reactions
27 Replies
7K Views
Baada ya mgomo wa waalimu kuwa batili, Waalimu sasa wanaamua kuwalisha sumu wanafunzi... Mwanafunzi: please maadam how many types of coffee do we have in Africa? Teacher: (kwa hasira) Two...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mwalimu mmoja wa kike alikuwa darasani na wanafunzi wake na mazungumzo yao yalikuwa kama ifuatavyo: Mwalimu: We John unacheka nini? John: Nimeona paja lako mwalimu! Mwalimu: Huna...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Haya haya wale wanaopenda vitu vya mitumba kuna miswaki used tena migumu haiishi haraka kama unahitaji wasiliana nasi kupitia 0752723351
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Napenda kuchukua nafasi hii kutoa shukrani zangu za dhati kwa wakazi wa Arusha. Kwa kweli mmenipokea vizuri sana sina cha kuwalipa ila mwenyezi mungu atawalipa mbadala. Erickb52 , Philipo ...
3 Reactions
53 Replies
3K Views
Kawaida nikiona mwanamke yuko singo wala hanishughulishi.Lakini nikiona au kusikia tu kuwa ana mtu wake basi mimi mapenzi hunishika kupita maelezo ,yaani hapa hata sijielewielwi sijui nimtongoze...
0 Reactions
132 Replies
8K Views
jamani japo kuwa utandawazi umerahisisha mambo mengi unaweza uka Download fomu mbalimbali..na vitu vingine vingi..sasa..kwa NN tusi Download Hata maFedha au Mnaxemaje.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kila nikimaliza kufanya Mazoezi jasho langu hunukia harufu ya Majivu Majivu,Harufu hii huwavutia Walio karibu yangu. .... ...ukikamatwa umejenga Choo Unashtakiwa...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
INTERVIEW Vijana wawili katika harakati za kutafuta kazi, waliingia kwenye quiz ya kuongea, marafiki wawili hao walikuwa wakisaidiana mambo mbalimbali ya kimaisha walikubaliana aingie mmoja...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Vijana wawili katika harakati za kutafuta kazi, waliingia kwenye quiz ya kuongea, marafiki wawili hao walikuwa wakisaidiana mambo mbalimbali ya kimaisha walikubaliana aingie mmoja ambaye yuko...
4 Reactions
16 Replies
3K Views
Matembele-Saliva front Wacha mchezo - stop sports Wewe ni kiboko yao - you are their hippopotumus Naskia kizunguzungu - I hear english english Mahindi yameota - maize are dreaming...
2 Reactions
26 Replies
9K Views
Question to Confucious Confucious Woman asks: If I sleep with 3 men, everyone calls me a slut. But when a man sleeps with 10 women, Everyone calls him a real man. How come . . . ...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Kwa habari zaidi bofyolo hapa chini http://au.news.yahoo.com/world/a/-/world/14750555/drunk-man-kills-70000/
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Zifuatazo ni baadhi tu ya SMS zinazokera kweli kutoka TIGO, hivi ni lazima kutumiana SMS kama hizi, binafsi huwa nakereka kwa kuwa unaweza fikiria imeingia SMS ya maana.... "Jipatie dondoo za...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Heshima mbele wana chitchat. kwanza samahani maboss wote mliopo humu. . hata kama wewe ni boss jaribu kuwa na huruma kwa wafanyakazi walio chini yako. utakuta ofisini kwa boss kuna dustbin...
1 Reactions
56 Replies
3K Views
wapendwa nina siku kadhaa sijamwona dada yangu wa moyoni gfsonwin. uko wapi mamie? wats wrong? dada cacico hebu tuhabarishe huyu mpendwa yupo wapi je yupo ok?????
0 Reactions
4 Replies
872 Views
Back
Top Bottom