JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Hivi JF ingekuwa kama bunge unadhani ingekuwaje?tungekuwa member wote tunakutana kwenye ukumbi hivi wewe ungeingia na silaha gani?maana hapa hatuonani lakini timbwili halisemeki,mimi ningeingia na...
0 Reactions
68 Replies
3K Views
mademu wawili walikua wanabishana bwenini... Ghafla mwalimu akaingia na kuwauliza..." mnabishana nini..!!?” wakamwambia tumeokota sh.10000.. Na tunataka aichukue mtu ambae atakua keshawahi...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Hivi wapi ntapata hii stashahada, maana naona tume huru zimezidi inaonekana inalipa sana hapa tz...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
MTOTO: baba kuna tofauti gani kati ya kilichopo katikati ya mapaja ya mama na kwako? BABA: kwa mama yako kuna geti la kuingilia PARADISO na kwangu kuna UFUNGUO wa kufungulia hilo geti MTOTO...
2 Reactions
19 Replies
5K Views
Je hiki ni kipimo tosha cha kuwa mjenzi huru a.k.a freemason??
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Wana jf mliopo dodoma nipo kwnye mji wenu nmeingia usiku huu kesho naomba tutaftane jaman plz
0 Reactions
6 Replies
766 Views
Naomba kujua umesoma nini ambacho unakikumbuka na ambacho kwa namna moja au nyingine kimesadia kubadili maisha yako. Siri zipo kwenye maandishi, ndio maana wanasema, ukitaka kumficha Mwafrika...
0 Reactions
39 Replies
3K Views
I have never wore the stuff, the most i've worn is eyeliner and mascara and that is rear. I see women with a face full of the stuff, some even looking like they've been 'tangoed' and I wonder...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
wakubwa, Dalili ya mafanikio katika safari yoyote ile,iwe safari ya ukombozi,safari ya kupambana na maisha n.k....Ni lazima iwe na usaliti.Rejea safari za yesu,alisalitiwa na Yuda na petro,rejea...
1 Reactions
32 Replies
2K Views
Jamani kwa niaba ya Mabachela woote waliopo hapa jamvini napenda kuwajulisha tuko mbioni kuanzisha umoja maalum kwa ajili yetu, huu utatusaidia kutetea haki zetu ikiwa ni pamoja na kusaidia pale...
5 Reactions
59 Replies
3K Views
nina kiu mie jamani kiu kiu kiu....... Kiu imenibana jamani.......... Kiu inanitesaaaaaaaaaaaaaaaaaaa kiu inaniumizaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa hii kiu niifanyajee? Tena kiu ya leo ipo...
5 Reactions
92 Replies
5K Views
0 Reactions
0 Replies
641 Views
kweli wanawake wana gharama!kila kiungo chao kinahitaji pesa table saliver nywele zinataka dawa masikio hereni macho wanja na shado pua inataka kipini mdomo liop stik uso .poda na foundation...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Baba mmoja alikuwa na mtoto wake wa kiume akawa anataka kumlea ktk maadili mema ili asifuate ya dunia. Siku moja mtoto alikuwa akicheza na wenzake, mara wakakorofishana mwenzake akamtukana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wapenzi wote wa chitchat Awali ya yote napenda nitoe shukrani zangu za dhati kwa shindano hili, kwa wapiga kura wote. Shukrani za kipekee ziende kwa barafu wa Moyo wangu ErickB52 kwa kuwa nami...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Polisi wapo katika upekuzi mkubwa wa kutafuta matahira wanaosoma vichekesho kwa macho na kimoyomoyo. Kutokana na hilo, upo chini ya ulinz! Na kwa kuzidi kuonyesha kuwa wewe ni tahira totally eti...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Jamaa watatu walikutana wakaanza kushindana nani kati yao anajua Kuuchuna (uso wa mbuzi) Jamaa1:"Nilimpigia simu mke wangu akapokea hakusema 'hallo!' Nami nikauchuna. Sikuongea mpaka pesa zote...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Naona unaitafuta chalinze hapo
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Happy birthday to You! Happy birthday to You! Happy birthday dear Vin Diesel! Happy birthday to You! How old are you now? How old are you now? Happy b'day happy b'day, happy...
17 Reactions
164 Replies
9K Views
kulikuwa na mmarekani ,mkenya na mtanzania maongez yalikuwa hiv mmarekan :sisi kwetu kuna maghorofa marefu sanaa mkenya:yanafika mbinguni? mmarekan:kwa chini kidoooogo mkenya nae:sisi kwetu...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom