Hii imetokea Mbagala katika purukushani za kugombea daladala masikini bibi wa watu akafanikiwa kupata siti,basi kwa furaha machozi yakaanza kumtoka ikabidi konda amuulize ''bibi vipi mbona unalia...
Father in law:young man u're coming to seek my daughter's hand in marriage and u're chewing gum.That's a sign of disrespect! Man:sir,I only chew gum when I drink or smoke.
Father...
Awali nilitaka kuthubutu kujidanganya mwenyewe! Eti nikidhani Bishanga , alleged Bepari kua anazo za kufuru!
Kuna watu wa mihela wajameni, mchezo tupa kulee!
Hebu fatana nami umuone Mr...
Bibi kizee mmoja alidondosha shilingi 1,000, akawa anahuzunika na kulaani sana, basi mjukuu wake akamwambia, bibi usijali kwani hiyo ni sawa na kutoa sadaka na Mungu atakulipa mara kumi zaidi...
Kutongoza au kutongozwa ni elimu (art), kiasi kwamba kuna watu hawana hiyo (art) wanapata tabu sana kumjulisha mwenza kwamba anamhitaji, mbinu nyingi hutumika kujiridhisha tamaa ya mwili mojawapo...
Mkuu wa Kaya (mhaya) akitoa maelekezo kwa dada wa kazi kabla ya kuondoka nyumbani asubuhi ya leo:
.... mimi natoka watu wa sensa wakiulizia nimeenda wapi waambie nimeenda bank kuchukua milioni 30...
wakubwa,
Yafutayo ni matokeo ya nusu fainali
(A)Jumla ya kura zilizopigwa harali ni 42
KUNDI A[/U
(B) Jumla ya kura zilizo pigwa katika kundi hili ni 22
1. Arabela = kura 2...
Kuna maneno katika makabila mbalimbali yanaingilina na kiswahili lakini kwa lugha ya kimakua sio mchezo hebu angalia maneno haya kaka = arokoraka Unasemaje = n'nowirachani amelala = ahorupa...
utambulisho namna hii
Naitwa josephn nasoma udom uhasibu
Naitwa edina nasoma udsm IT
Naitwa joyce IFM banking& finance
Jamaaa huku likitabasamu naitwa J4 nko tanesko nasoma mita
kuna mmasai mmoja alikwenda mckitini na rafiki yake,wakat wanatoka nyumbani yule rafiki yake alimwambia kila ki2 watakachofanya mckitini na yy afanye sasa kutokana na ujinga wa wamasai wakati...
Jamaa kafanya mapenz na changudoa alivyomaliza
Changudoa: nipe changu fasta.
Jamaa: hii hapa.
Changudoa: we kaka mwehu nn.. yani raha zote nilizokupa unanipa sh 150?
Jamaa: (akatoa...
Usiku mmoja konda alikua kalala, ghafla mdogo wake akaamka na kwenda chooni, alivyorudi ile anafunua neti tu..!, Konda akamzuia na kumwambia wanafunzi wanatosha......
nani msela..
Jamaa mmoja alikuwa akiishi na
mkewe,mkewe alikuwa anafuga
paka na jamaa alikuwa
anamchukia sana yule paka.
Siku moja akaamua aende
akamtupe mbali,akamchuku a na
kuendesha gari...
A boy drops his girl friend at home and he puts his hand
on the wall by the gate for
support, leans towards her and says can i kiss you?
GIRL: not now, i am at home
BOY: please
GIRL: nooo...
Juzi malori 30 yaliyokuwa yamejaa sarafu (ama kunogesha zaidi chenchi) za senti tano tano, yaliwasili kwenye makao makuu ya Apple, jimboni California, Marekani.
Awali, walinzi wanaolinda makao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.