JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wale wote mliomaliza funga yenu salama.........ningependa kuchukua fursa hii kuwapa mkono wa EID...... ni kidogo lakini si sawa na bure...... EID MUBARAK
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani tangu niingie chitchat naona ni wakongwe tu ndo waliokamata watoto wazuri wazuri. Mpaka Boflo ana bond yake. Jamani moyo mpweke kama mimi wameisha Chitchat ama mi bahati yangu mbaya?
1 Reactions
29 Replies
2K Views
nasikitika kuwataarifu kuwa kuanzia jumapili ya tarehe 12 sitakuwepo tena jf, najipiga ban ya hiyari kwani nimechoka kufuatiliwa. nahisi kuboreka na wanaonibore na wanajijua/wanajifahamu. yan...
2 Reactions
119 Replies
7K Views
Baada ya story za hapa na pale na kufahamiana kiaina... Jamaa; Naomba basi namba yako ya simu.. Mdada; ya kazi gani? Jamaa; nataka niipambe kwenye phonebook yangu Mdada; sina...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
kwa walio macho karibuni tuchati
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Eid
Eid mubaraq oll muslim in JF oll da best
0 Reactions
14 Replies
2K Views
I think the funniest I have ever heard, there was a guy called 'Major Dickie Head'. jina jingine ni ..................
0 Reactions
51 Replies
4K Views
Hi all Jamani humu JF mwenzenu naona raha kutoa like pale ninapo kutana na post ya kufurahisha. Naweza nisiunge mkono hoja ila kama imepangwa vizuri, au kama inafurahisha lazima natoa like...
13 Reactions
164 Replies
9K Views
Mfano unababu yako ambaye ni tajiri sana. Katika dakika zake za mwisho karibu anakata roho anakuita. Anakwambia mjukuu wangu, nimekuachia milioni 100 kwenye kwe.. K....nye .. Kwe..... alafu...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Hi jf members, just joined your thread so hii ni kama hodi tu coz kuingia kimya kimya naona kama sio issue! Tuko pamoja guys kama vp mida..!
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Hivi baba kwani wewe na mama mnataka muanze shule, Baba:hapana kwani vip mwanangu, Mtoto:mbona jana usiku nilisikia unamuuliza mama "vipi twende la pili" Baba:!!!?!?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
like upate vituko Vituko vya Kibongo Teh teh teh teh | Facebook
0 Reactions
0 Replies
1K Views
husika na kichwa cha habari hapo juu...
0 Reactions
127 Replies
7K Views
Mambo vipi wakubwa na Wadogo na wale saizi ya Kati,Dah!kama dizaini kama kitambo sijaonekana humu Ndani kama miezi kazaa hivi nilikuwa Zanzibar japo kuna watu wengine walizani mimi ni Mzenji...
1 Reactions
5 Replies
902 Views
Tafadhali wasukuma mlioko kwenye jamvi hili naomba mniambie maana ya neno "NAHINZA" OR "NAVINZA" sijui linavyotamkwa kama unaweka h au v hapo katikati.Thanx.
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wakubwa Leo anasakwa mwanachitichat ambaye ni zaidi ya mwingine,afu huyu ndio atakua miss chitchat wa week hii.utapendekeza jina moja kati ya hawa,mwisho ni ijumaa saa sita kamili mchana baada ya...
2 Reactions
58 Replies
3K Views
Ilitokea siku moja mkinga mmoja mfanyabiashara alipigiwa simu na ndugu yake aliyekuwa amesafiri kwenda mnadani kumtaarifu kuwa amepata "breakdown" ndipo huyu mfanyabishara (mtaarifiwa) anamjibu...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
August 12th, 2012 | 6 Comments Images of a giant snake loaded onto a truck are making their rounds, with a story of a massive snake that killed 320 tourists and 125 divers in Egypt. It has been...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ilikua uwanja wataifa. Kulikua kunampira wasimba nayanga. Watu waliku wengi sana. Ila kunawatu walikua wapo nje hawana kiingilio nawanatamani kuingia ndani. Ndipo jamaa mmoja akaamua kujitosa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nataka kuingia nalo bungeni! Mwenye nalo tuwasiliane haraka. Spika makinda ajiandae kwa ugeni huu mkubwa na wa kihistoria, nitafikia speakers changing room, sihitaji kutangazwa, nitajitangaza...
1 Reactions
31 Replies
5K Views
Back
Top Bottom