JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Naoba nisaidieni kujua Wilaya Tano zinazoongoza kwa mapato ya Nchi ya Tanzania, kama nikipata source itakuwa bora zaidi. Natanguliza Shukran
0 Reactions
5 Replies
4K Views
MAJIBU YA KIHAYA!! Umenyoa nywele? A: Hapana, nimebadilisha kichwa. Q: Hiyo simu umenunua? A: Hapana nimeitengeneza mwenyewe. Q: Utakula mboga na nini? A: Mdomo (A midnight call) Q...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwanini viwanja vingi vya ndege hujengwa karibu na uso wa maji au mara nyingi karibu na kiwanja cha ndege kuna kuwa na bwawa au ziwa mfano uwanja wa mwalimu nyerere upo karibu na bahari na viwanja...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamaa aliagiza chips ughaibuni,muuzajia akamuuliza hiyo chips iwe vipi??mshkaji kw kuwa kimombo kinampa tabu akajibu''confuse them,confuse them''akiwa na maana achanganyiwe kila kitu humohumo
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nawajulisha mapema kuwa ni siku yangu ya kuzaliwa. Kama kuna mtu atampa mama yangu vera chochote kama pampas au nepi ruksa siku ikifika. Msije sema sikuwajulisha mapema. By the way kuna mmoja wenu...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Leo natangaza rasmi kumtaliki mpenzi niliyeishi naye kwa tabu na raha!! Hivyo ijulikane kuwa Preta siyo mke wangu tena na kwa sasa KakaKiiza yupo huru kwa dada yoyote!! Baada ya hayo nasema wale...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Mhudumu mmoja jana jmosi alifanya kituko cha ajabu baada ya kupokea ujumbe kwenye simu yake,kuwa jpili ni sikukuu ya idd,Alichokifa baada ya kupata ujumbe kwenye sim yake,majira ya saa kumi na...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Naitwa fahad na katika chitchat ni mgeni.Mi nlikua natafuta marafiki wakike wa kuchat nao nje ya Jf ili tubadilishane mawazo.Sibagui dini,umri,kabila wala rangi.Nyote mnakaribishwa na aliyekua...
0 Reactions
23 Replies
11K Views
Kwa hiyo msije mkadhani mimi kutoonekana maana yake navumilia vitimbi vya chitchat au eti nililewa siku zote hizo. Ama zangu ama zao walioonyesha kwamba eti platozoom anahusika kwenye ulevi wa...
1 Reactions
44 Replies
3K Views
Karibuni tukeshe msiban wana jamvi
0 Reactions
4 Replies
860 Views
Miaka ile nakuja Dsm, wakati bado mbezi ni shamba, kabla Lulu hajaanza kutangaza ITV, wakati mambo ya ruksa yakiwa yanaishia, nilikuta kuna vitu wanaita 'dada/mama wa hiari'. Nami leo natafuta mke...
7 Reactions
121 Replies
7K Views
Mvua ya leo ambayo siyo kubwa inawezeka imepenya kwenye madirisha ya maghorofa hayo, inawezekana pia imelowesha magodoro ya wakazi hao. Wenyewe hawataki kusema hili wanaona aibu, girl friend wangu...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
A man had never had Sex before, on their First Night after the wedding, the man entered the bedroom only to find His wife Completely Naked, wife asked, "Do you know what I want?" the Husband...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Naishangaa siku ya leo,Siku ambayo nilizaliwa. Leo naishanga kwa kua ni moja ya siku mbaya kwangu,siku ambayo Bibi yangu kipenzi anazikwa tena mimi nikiwa nimeshindwa kuhudhuria mazishi yake...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Baada ya Preta kuja home na kunionyesha uhodari wa kupika nimeazimia kumchukua jumla, Kubwa zaidi amenionyesha utamu wa sauti yake hasa akiwa anaimba. Plz Madame B nakutegemea katika kuunda...
2 Reactions
35 Replies
2K Views
Kwakweli ni mekwazwa na hawa watu nitawataja ila nataka wanieleze nini wanatafuta kwangu??pili na muhusika nataka leo afunguke juu ya msimamo wake ili kesho nikisha mmwagamtu ubongo nisihukumiwe...
4 Reactions
73 Replies
5K Views
Kwa mujibu wa kura nachukua nafasi hii kutanganza matokeo ya kinyanganyiro cha miss chitchat mwezi augost kama ifuatayo;Catherine kura 1CUTE kura 0Kongosho kura 2beibe nasty kura 3[* cacico kura...
3 Reactions
43 Replies
3K Views
Ndio tunampeleka marehem ankar kupumzika kwenye nyumba ya milele eeh mwenyezi mungu umpokee kwa amani
0 Reactions
5 Replies
855 Views
Zero:Kama nikija na nyama yangu ya kuku,chips kuku utaniuzia sh.ngapi?
1 Reactions
1 Replies
959 Views
HODIIIIIIIIIII! Mimi ni mdau mpya katika hii forum ya jamii.Kwanza ninayo furaha kubwa sana kujiunga na hii kitu na najua kupitia hii kitu naweza kulonga vitu vingi sana bila msirimkali...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Back
Top Bottom