nimepita kkoo wadau kuna mvua ya risasi...
na mpaka naondoka eneo la tukio chanzo hiki hakijapata habari kamili...
kwa zisizo rasmi inasemekana ni ugomvi wa polisi na raia wanaogombea...
Hali hii inasababishwa na kujichukia wao wenyewe. Muonekano wa kuwa na nywele za aina moja kila siku unawafanya wajikinai ki saikolojia na hivyo kujikuta wakitawaliwa na msongo wa mawazo...
Cantalisia, you look more beautiful today than the day I first met you. My love for you grows and grows with each passing year. Growing old with you is one of my favorite things to do. Every year...
Kichwa cha mada cha husika.
Napenda kuwataarifu wana cc kuwa harusi ya charminglady na MtotoSix haitakuwepo tena kwakua watu hawa ni ndugu. MtotoSix ni mtoto wa nje ya ndoa wa mama yake...
jamani wana chit chat humu jamvini kuna mtu namfeel sana ila sijui ni nani ila si kama wa kumoyo manake Kaizer ni zaid yake, na si kama wadogo manake Excellent, mbombinho, Eiyer platozoom na Smile...
Kuna kijana alikua anataka kuoa akamwabia baba yake kaniposee msichana fulani baba yake akamwambia tafuta kwingine yule ni dada yako ila mamako hajui ucmwambie, Kijana akatafuta mwingine baba...
The symptoms of a cold last between seven and fourteen days, well that is an easy disease course compared to falling in love, it is going to take you approximately a year or two to recover from...
Chizi alipanda juu ya mwembe asubuhi, akakaa juu hadi jioni kisha akajiangusha, daktari wa machizi akamuuliza mbona umejiangusha? Chizi akajibu " nimeiva!
Haya si maneno yangu , ni Swaiba wangu .
Na kwa mnyegesho wa maneno ili tupate mnogesho wa habarize nimnukuu .
> Swaiba ; Bw Judgement hii habari ya wanaosema eti Kunguru hafugiki , na eti...
Sio kila mtu anayeingia benki
ameenda ku withdraw
pesa....wengine wameenda
kuomba loan.
Sio kila mtu anayeingia chooni
mara kwa mara anaharisha...la
bda ameajiriwa huko.
Sio kila chali...
wale wote mliokuwa mnamvizia charminglady mlie tu coz kuanzia sasa mpaka ni bond yangu. Natia msisitizo, [b]kuanzia sasa charminglady ni Laaziz wangu.Mimi na Kipya Kinyemi changu tunawatakia...
Jamaa alienda kwa mchungaji kuungama...
Alianza hivi...... "Nihurumie Mungu wangu, nimetenda dhambi nyingi saana..."
Mchungaji: "Mwanangu, usihofu... Mungu ni mwenye huruma saana...
Atakusamehe...
Mtalii alimuuliza muendesha
Bot do u know
biology,geology,criminology,ecology,geography
and sociaology? Muendesha
Bot akajibu no Mtalii
akamwambia then u wil die illeteracy. Baada ya muda Bot...
Kwa kuwa Mungu alisema si vyema mtu aishi peke yake, na hivyo mtu atamwacha babae na ***** na kuambatana na
mkewe, na kwa kuwa mama yangu mpenzi gfsonwin na baba yangu mzee mzima Kaizer wamenipa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.