Dada Nai, Hujambo? Tangu ujiunge JF nimekuwa nikikusoma sana mpaka nikakuelewa, nikakufahamu kisha nikakuona. Maandishi yako yanaeleza mengi sana juu yako: tabia, mtazamo, na falsafa yako ya...
Wadau naona Dr Mwakyembe baada ya kasafisha TCA, TPA na sasa ni zamu ya CEO pale TAA. Mi naona kasi ya uwekezaji ktk kujenga na kuboresha viwanja hauendani na ukuaji wa uchumi Afrika mashariki.
Ni...
Habari pple,,,,,,,
Watu hua wanakua na tabia tofauti tofauti kutokana na malezi,mazingira aliyokulia may be??but all in all mambo tunayofanya na tabia zetu hua zinakuja kutokea kwa watoto wetu...
Hii si utani mtu amg'ata Cobra hadi mauti
Man Bites Snake to Death in Revenge - Yahoo! News
My take: Jino kwa jino (WHEN IT IS DEADLY). Mtu akitutania, mtanie:fencing:
MTALII mmoja kaja BONGO akakutana na interpreter mmoja mswahili anaitwa MKUBYA wakaenda hotelini mambo yakawa hivi:
TOURIST:"Do you have vegetables here?"
MKUBYA:"Mnavyo vijimeza hapa?"...
uamuzi huu mgumu umefikiwa baada ya kuibuka kundi wafuasi wa wakati ndio sasa kuhakikisha ndoa haifungwi, kwani tangu nilipotangaza nia ya kumchukua charminglady imefikia hatua tumetumiwa sms za...
jamaa mmoja alikua muongo(sound).. Siku moja akawa anawapigia masela wenzake story za jinsi alivyokua muwindaji wa swala.. Sasa story ikaenda mpaka wakafika sehemu jamaa amemlaza swala chini...
"Doc," says Steve, "I want to be castrated."
"What on earth for?" asks the doctor in amazement.
"It's something I've been thinking about for a long time and I want to have it done" replies...
Kuna study imefanywa na wanasayansi, wakagundua kuwa ute ute (semen) ni nzuri kwa afya ya wanawake na inapunguza stress. Jisomee zaidi http://www.thesun.co.uk/sol/homepage/news/article4499457.ece
Tumetangaza vita na kila mmoja wetu ni askari! Silaha zetu ni mikono yetu akili na maarifa tunayo! Risasi zetu ni nidhamu, na dhamira yetu ni kumshinda adui yetu UGUMU WA MAISHA!
Awali ya yote kimaono yangu nathubutu kusema hapa jamvini pangekua na selection ya kuwapa members u'Superstar wa kila mwezi ningewapendekeza hawa vijana, Mtoto6 & Charminglady!
Because Superstar...
Walikuwa wanawaza nini?
Walipojenga ile power plant pale ubungo!
Walipojenga lile daraja (pekee in dar) pale manzese?
Walipokuwa wakiwachagua viti maalumu (au vitumaalum)?
Walipotangaza...
Nimeenda sehemu kunywa soup maeneo ya chang'ombe jijini dar es salaam, cha ajabu pale mapokezi nimeona kibao kimesha geuzwa. Kimoyo moyo nikasema leo kazi ipo. Na hii hali ya hewa ya kibaridi si...
jamani hivi hawa watu wanaojuifunza keenye hizi driving schools za hapa jijini..!! Wanajifunza ufundi au wanajifunza udereva..!!? Maana yani gari za driving school za hapa town nyingi zimechoka...
kwanza natanguliza radhi zangu za dhati kwakua nimekua nikiwatania wengi sana humu jamvini bila kujali umri mana avatar zaficha mengi......ila nimeona leo nifunguke kua am more than serious kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.