kama ningekuwa na uwezo wa kuwa fimbo yenye bluetooth ningesafiri mpaka magogoni ndani kabisa na ningewatandika watu fimbo za masaburini hadi wakose nguvu za kwenda kutalii na akina bekham.na...
Unakumbuka February 8 2012 wakati baraza la mitihani lilipotangaza matokeo ya kidato cha nne? stori kubwa ilikua mwanafunzi alieamua kuandika mistari ya bongo fleva kwenye sehemu ya kujibia...
MKE :Kuna nini kwa jirani??
MME:Kutakua na birthday
MKE:Ya nani?
MME:Itakua ya Tuyu
MKE:Tuyu ndio nani?
MME:sijui ndio nani nimesikia wanaimba "happy birthday, Tuyu "
Ticha mmoja wakat anafundisha alijamba kwa bahati mbaya kwa aibu akaomba likizo ya mwezi mzima. Aliporudi akauliza wanafunzi wake "tuliishia wapi?" wanafunzi wakajibu 'tuliishia pale ulipojamba'.
Humans are born with 300 bones in their body,
however when a person reaches adulthood they
only have 206 bones. This occurs because many of
them join together to make a single bone
habari WOTE,
nimeamua nirudi tena na hii segment ya fact...
tunakumbushana tu kwa wale waliokwisha kufahamu,
na kuelimishana kwa wale ambao hawajawahi kusikia...
leo naanza na hii hapa:
A mans...
Docta wa vichaa alikutana mtaani na kichaa mmoja aliyetoroka kambini. Akamuuliza;kwanini upo nje ya kambi?,yule kichaa akamjibu:"Wale wenzangu wapo boarding na mimi nipo day"!
habari zenu kwa mpigo! kwanza naombeni radhi. niliaga kuwa sitaonekana kwa kukwazika na kutajwa tajwa kitu ambacho si kweli. ukweli ni kwamba wiki nzima tulikuwa na auditors ofisi na tulikuwa...
SEMINA UBUNGO PLAZA.. Watu wakaanza kujitambulisha, Wa1:Mimi naitwa John niko UDOM mwaka wa 2, nasoma LAW,, Wa 2: Mimi naitwa Stella niko UDSM mwaka wa 3 nasoma PUBLIC RELATION,,,Wa3: kwa...
Hayahaya wajameni kimeeleweka sasa
Napenda kuchukua fursa hii kuwatakia ndugu zangu Waislam Eid Mubarak na kuwapongeza wote waliofunga.
Nianze na shemeji yangu Roulette, sweetlo...
It took me all way since morning try to think and think and think how to wish you happy life in this very moment where you celebrate your day.
Always, i am just like robot (around), to see and...
Watakaohesabiwa ni wale watakaolala KWENYE KAYA usiku wa kuamkia 26/08/12
Wadau,
Napenda kuwajulisha kuwa harusi ya Preta na Erickb52 iliyokuwa ifanyike tarehe 25 kuamkia 26/08/2012...
Hili ndilo tatizo la ugeni. Ni juzi tu nimejiunga hapa na nina yangu ya moyoni nataka kushirikisha wanawake wenzangu lakini nashindwa kuyaweka hapa kwani naona kama vile pako hadharani mno. Nataka...
mimi ni mwanafunzi wa udaktari mwaka wa mwisho . lakini kila nikiangalia mbele sioni mwanga . kwani katika ndoto zangu ni kuwa na maisha mazuri . sasa wana jamvi naomba ushauri je niendelee na huu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.