natuma salamu kwa waume zangu TANMO na mtu chake....
ujumbe: mkisusa wenzenu wala....ikisindikizwa na wimbo..nataka paja mie (mfalme Yusuph)....
Preta tupo wangapi?
na hii list ina...
Kumbe wahudumu wa mabaa (bar maids) kwenye vile vipochi vidogo vinavyoning'inia, wanakuwa na vikaratasi vidogo ambavyo wameandika namba za simu, ukijichanganya, unapewa ratiba ya huduma! Wadau...
Viongozi watatu wa ngazi ya juu wa Serikali ya Mkoa wa Katavi wametapeliwa na watu wasiojulikana baada ya kuelezwa kuwa wameshinda promosheni ya Airtel ya Shilingi milioni 50.
Waliotapeliwa ni...
*
5 things Indian movies taught us :
*
**
1. Atleast one of the identical twins born is evil..!!
*
*2. While defusing a bomb, don't worry which wire to cut, you will always choose the...
Ndo nshaamua hivyo....
Leo si jumamosi? Liwalo na liwe, mwezi uandame au usiandame mie kurudi kwa mkoloni wangu ni mpaka Jumatanoooo....
Nimechoka kukaa huku kwenye lokesheni yangu ....si...
wana jf wenye amani na furaha zaidi ni wanaChit chat....wenye hasira, visasi,kukonda na presha muda wote jukwaa la siasa...wenye busara zaidi na wavumilivu ni jukwaa la great...wenye vijembe na...
Nasikitika kuwataarifu wana cc kuwa Bibi yangu kizaa Baba amefariki leo.Bibi ambaye alikua na umri mkubwa unaotazamiwa takribani mwiaka ipatayo 80 amefariki kwa uzee katika kipindi ambacho bado...
The Incredible Tree-Climbing Goats of Morocco...
Before you jump to conclusions: no, these were not created by a bored geek in Photoshop. Amazingly, these uncanny animals are actually real...
Jamaa kaupdate status
- I'm Online On Fb Durin Lecture. Hahahaha .
> Comment toka kwa lecturer: Get Out Of Dis Class Now:) .
> PRINCIPAL Liked a comment..:)
Nilikuwa najua baba na mama ni ndugu. Kamwe sikujua kuwa ni watu kutoka koo mbili tofauti.
Mama yangu mdogo alipo olewa, alivaa nguo nzuri sana. Mimi na wadogo zangu tukaletewa nguo nzuri sana...
Dah! Nimekumiss charminglady najua unasoma thread hii,yawezekana una Id nyingine kwakua ninavyokufahamu uwezi ukaa hata saa 1 bila kutinga Jf.Kiukweli napata shida sana nikaapo bila kukuona,sipati...
Kuna bwana mmoja alijisikia kiu njiani akiwa kwenye safari akaenda kwenye nyumba ya jirani na njia akaomba mjiya kunywa. Mama mwenye nyumba akamwambia mwanawe mpe maziwa, baada kunywa maziwa akawa...
Ninacho waomba endelezeni yale mema mliyokuwa mnayafanya siku zote za mfungo mtukufu.
Tupendane, tusaidiane na tutakiane kheri kwa kila jambo.
asalaam alekum. mia
Enyi machichatter,nimekuwa nikifuatilia nyendo zenu kwa makini sana na nimegundua yafuatayo:
1. Mnatongozana sana
2. Tongozana zenu nyingi haziishii kwenye keyboard,mnachukua hatua moja zaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.