JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
ni mbali lakini kwa ukweli, huku karibu karibu naona mawenge
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Ajali mbaya ilitokea, akina mama ambao wote ni wake za watu waliamua kwenda kutalii mbuga za wanyama,wakati wanaenda huko basi lao likatumbukia mtoni akina mama wote wakafariki. Zilifuata wiki...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Jitokeni kwenye tohara acheni uoga, mshalipiwa. Miaka 20 na zaidi tunawapa kipau mbele...chini ya hapo mtatairiwa baade jioni, jioni. Ila lzama tuwatahiri acheni uoga. Kumbukeni ...tohara is...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
:A S 465:I can count on one hand the times in my life when I heard a story and…could not stop thinking about it! The Butterfly Effect story was one of those times. In a word, it’s AMAZING! After...
0 Reactions
7 Replies
829 Views
mwana chit Chat unauonaje na unausikiaje?
0 Reactions
5 Replies
823 Views
Amejenga harem kama ile ya marhubi Zanzibar.Ina bedrooms 99 na lengo lake kila chumba kiwe na 'mke'.Hadi sasa vyumba 15 tayari vishakuwa occupied (wahusika jitajeni wenyewe kabla sijawataja...
10 Reactions
170 Replies
15K Views
Ukinijibu vzr hapa nakupa zawadi ya EID l HAAJ: 11,000/= kwa kiswahili "Elfu kumi na moja" 10,001/= je hii utaitaje? :A S cry::A S 465:
0 Reactions
17 Replies
3K Views
MCHAGA anamdai MPARE hela..huku MSAMBAA akishuhudia MPARE:nimesema sikupi bora nijiue avaeee (kwa ubahili wake mpare akajichoma kisu akafa) MCHAGA:kiruu umejiua mbee sikubali na kufuata...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
kuna jamaa kajiunga na jeshi wakapangiwa kwenda kwenye shabaha walikua 20 kila 1_lipea risasi 30 wana piga 10 ote waepa nusu bigwa kakosa zote 10 lapili nazo amekosa zote 10 la 3 kapiga 9 imebaki...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Hivi mwenzangu Idd hii 'utakuwa' na nani? Wapi? Mimi nitakuwa na 'mwenzangu' tuboreshe muungano wetu.Sehemu atakayopenda.Wewe je?
0 Reactions
2 Replies
819 Views
kwa wale waliofuatilia mchakato wa tenda za TANESCo na jinsi Mh. Zitto Kabwe alivyosimamia sheruia ya manunuzi na Katibu mkuu Maswi alivyoamua kiuachana na masuala ya 'michakato then kutoa tender...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
....nasikia hawa wazaliwa wa kwanza wamezaliwa kwa bahati mbaya au wazazi wao walikuwa wanajaribu tu na wengi ni vyanzo vya ndoa baada ya kupata mimba zisizotarajiwa na kulazimika kuishi pamoja...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Kwamba utafiti umefanyika kunako vyombo vya usafiri wa uma. Aidha ikagundulika maneno kadhaa yatumikayo kunako daladala hayajakaa njema, baadhi yake machache ni kama haya ;- > Atakupa mbele! >...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Kwa mnaozihitaji piga cm no.987654321
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau nimeona movie/film nyingi zikiisha yanakuja maandishi kama majina ya cast na directors na mambo mengine. Maranyingi hata mtoto wa miaka michache akiyaona hayo anajua movie au film imeisha...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
HABARI ZA MITAA: UBUNIFU AKILI NI MALI
0 Reactions
1 Replies
2K Views
0 Reactions
0 Replies
836 Views
Hongera Sana Mr Rocky kwa kupata baby boy. Natuma Special Greetings to the obviously very Proud Mom and the Little angel. Wonderful day making sure you mark a memory which in future will be...
10 Reactions
43 Replies
3K Views
Mine are: How to cook. Never trust anyone. Don't drink alcohol and have internet access at the same time.
0 Reactions
6 Replies
961 Views
Back
Top Bottom