Jiachie kwa kuwatakia Daku njema kama kichwa cha habari kinenavyo..... Mi namtakia daku njema My wife arabela(mysweetheart,myiceheart),
my shemeji eversmiling,Bibi madameX,
Babu Asprini,
Dada...
Wakuu,
Kawaida wanaume wengi tuko flat sana.Ila siku hizi vijana wa kiume walio wengi ukiangalia nyuma wamejazia ile mbaya.Tatizo ni nini?Uvaaji au ulaji?Kindly help,am dead of clarification.
Katika utafiti niliofanya hivi karibuni hapa Bongo na nje ya Bongo nimepata ushahidi wa kuaminika kuwa watanzania sio wavivu, huu umekuwa uzushi wa muda mrefu miongoni mwa wachache. Je ! mnasemaje...
-alo juu mgoje chini.
-msafiri kafiri
-ukubwa dawa
-mgaagaa na upwa hali wali mkavu
-...n.k
Nanyi ongezenu munayokumbukam pia bakita km wanasoma wafanye marekebisho
Kwa jina la YEsu, nimeikemea hii barua pepe iliyoingia kwenye akaunti yangu na alaaniwe yule aliyetumia jina la Bwana wa majeshi kutaka kutapeli!!
.......................
:Dear belovethA...
Mzungu mmoja alikwenda sokoni kununua vitunguu. Muuza vitunguu alipomwona Mzungu akajificha uvunguni mwa meza ya vitunguu. Hata hivyo Mzungu hakujali na aliendelea kueleza shida iliyompeleka...
jamaa mmoja asiye na mikono alianguka kisimani baada ya kukaa kisimani kwa muda bahati nzuri kuna mwanaume akapita pale kisimani, alipohisi uwepo wa mtu akaomba msaada kwa sauti na jamaa...
Wasalamu
Nimewamisi sana vijana wa kazi ndani ya chitchat nao ni Mu-sir na Junior .Cux .Jamani nimewamiss sana,sana tena sana
Wakati mnaingi nadhani mlipiga hodi,wakati kwa nini kimya wakati wa...
Huyu mdada hajui kabisa kutamka baadhi ya maneno ya Kiingereza.
Anavyotamka "legendary" anakosea kabisa. Hata alitumiavyo pia anakosea.
Neno "career" ndiyo kabisa analiharibu. Analitamka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.