JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nimemiss thread zako bana. Pamoja na ujauzito ngoja nikushikie kikopo uturushie uzi wa kuanzia week end.....pliiiiiiiiiiiz!!!!
3 Reactions
35 Replies
3K Views
Kuna jamaa ambaye ana watoto waliokulia nchi moja tunayopakana. Sasa mtoto mmoja wa mtanzania akaulizwa darasani, kila mtu ataje jina la nchi yake. Yule wa mtanzania akasema " kwetu Bongo"...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani nakereka sana na hiyo hari maana naona ni jinsi gani wabongo tunavyo copy na ku paste. Au utakuta kila mjengo una kavaranda pale mbele ya nyumba halafu nyumba haina hata hewa, yaan mmh...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
S01E01 The Beginning mambo wana JF!! hivi majuzi niliweka uzi wa kutafuta gym buddy na jana nimeanza rasmi mazoezi. kila kitu kilikuwa pouwa lakini mikono inauma bado, rafiki zangu wa jf...
0 Reactions
3 Replies
965 Views
Three gays are in a spa bath - Suddenly a blob of semen floats to the surface of the spa. They all look at each other and one says to the other two: "Ok, which of you two morons farted?
0 Reactions
0 Replies
759 Views
Katika maisha suprise ni mojawapo ya jambo ambalo mtu hulifanya mara nyingi kwa yule ampendaye. Katika kuonesha kuwa unampenda mama/baba yako mara moja moja unapaswa kum-suprise Chukua simu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hivi huyu jamaa (Kanda Bongo Man) aliishia wapi? http://www.youtube.com/watch?v=LtkxBfClF-E Congo - Kanda Bongo Man Live II - YouTube Kuanzia dakika ya 3.30 kuna dada anakata mauno ya hatari...
0 Reactions
28 Replies
6K Views
Tusaidiane kuitafsiri sentensi hii iwe kiingereza "RAHA YA KUFUNGA UWE NA UHAKIKA WA KUFUTURU NA KULA DAKU" hapa ofisini kuna zogo linaendelea kuhusu kiingereza.
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Je wajua hilo kuwa katika maisha ya kila sike Ke ndo huchuchumaa mara nyingi zaidi kuliko Me...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ni siku ya J'3 asubuhi niko mahakamani, ambapo nasubiri JUDGEMENT ya kaka yangu. Aidha hapa nimesindikizwa na my wife BEIBE NASTY na members wa Jf ninaowakumbuka ni MTALINGOLO, ERICKB52, NICAS...
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Ninafanya kazi majini katikati ya Mto Ruvuma, na tena ni takribani Kilometa 25 kutoka usawa wa bahari! Naishi huko, ila wakati wa w/ends ndo kidogo tena J'pili tu,naruhusiwa kwa kuwa ni siku ya...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Kama wimbo wa Bwana Misosi, kila sredi utayofungua watu wanatajana majina. Kuna haja ya kuharakisha mchakato wa jukwaa la salamu, maanake hata anayepost mada ya tofauti mwisho lazima amalizie...
7 Reactions
121 Replies
9K Views
kwa mwana JF aliyeko dodoma anijuze naelekea CHAKO NI CHAKO
0 Reactions
0 Replies
649 Views
Wana jf barabara ya Mbeya mpaka Malawi imefungwa takriban masaa sita baada ya mtu anaedaiwa kukodi bodaboda kisha dereva kutoonekana ila alokodi kaonekana. Wananchi walimpeleka polisi then after...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Hodi, hodi...... mmmm jamani mbona kimya???? wenyewe mpooo, mmhh! au niondoke mbona sikaribishwi? au hamtaki wageni? Mmm basi naondoka isiwe taabu jamani maana nasikia sauti za watu ndani but...
1 Reactions
75 Replies
4K Views
Jamani nimechoka kuwa kimbaumbau!! Mwnye kuweza kunsaidia namie nipate hizo six pack jaman,maana napata tabu sana daily!!
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Baada ya kupambana ktk kutafuta kile ambacho nimekua nakitafuta kwa muda mrefu(kupendwa na charminglady),sasa nimeingia ktk ukurasa mpya,yaan kuelekea kufanikiwa,nasema kuelekea kufanikiwa kwa...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Mimi ni mwanajf nisiyechangamana na kundi lolote. Ninastaajabishwa na umaarufu wako mkubwa wewe lady ambao unawadatisha vidume wengi humu jamvini. Nakuuliza, ni nini siri ya kukubalika kwako...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Guyz started a topic there at MMU and some members argued to be too explicit as it was about adult content.. I thnk its moved to adult section.. I want to get there and go on with my study.. How...
0 Reactions
5 Replies
973 Views
Back
Top Bottom