A women goes out to buy a gun,
SELLER: what for madam?
WOMEN: its for my husband!
SELLER: but madam guns are very personal they need to be properly suited to their owner why not bring your husband...
Nimesoma thread ya mdogo wangu beibe nasty nikakumbuka na Mimi predicament inayonikabili Kwangu nikaona nisimjazie thread yake.
Now...
Kwanza, Kama unaishi peke yako (bachelor), je ni sahihi...
dady yangu anarudi leo tumemuandalia msosi wa ukwee c mnajua jinsi mumy cathy akipika acha kabsa,halafu babu asprini ujitayarishe kujibu kesi ya zile picha wale mliokua mnazonga mumy cathy...
Mimi nimeamua kung'atuka jf kutokana na kukosa amani baada ya kusikia charminglady anaondoka. Imeniuma sana, nmesikitika sana na nmeshamtua PM invisible ya kumuomba kujiuzulu humu jf.
Kwaherini...
Your are the Apple to me in such !
You BN !
You give me hope, and help me to cope !
When life pulls me down, you brin' me around !
BN you tich me how to care, and you help me how to share ...
Utakuta WABONGO weng wanaficha umri wao,utakuta mtu ana Birthday lakin eti NATIMIZA MIAKA KADHAA,Mbona Majuu ukiangalia hata mtandaon watu kama Celin Dion,OBAMA,RIHANNA na wengineo kila k2...
Mkulima amejiwa na mwaandishi wa
magazeti kumuhoji ... kuhusu maisha ya
shambani,na mkulima huyu hawapendi
waandishi wa habari akaona bora
amchoshe katika kujibu maswali,
na mambo yakawa...
Ngriiiii Ngriiiii Ngriiiii
Girl: Hello Dear?
Guy: Am fine,u?
Girl: Just missing u.. I need Tshs 50,000 for my Hair
Guy: You Are now on Voicemail service... Press 2 to
Leave a Message, or Press 1...
A for ATM
B for BLACKBERRY
C for CPU
D for DVD
E for E MAIL
F for FACEBOOK
G for GOOGLE
H for HAMMER
I for I-PHONE
J for JAVA
K for KISS
L for LAPTOP
M for MICROSOFT
N for NOKIA
O...
Hbr pple,
vijana wengi siku izi tunatumia mda mwingi kuwaza ngono na mahusiano,hata kwenye suala la majadiliano kwenye mitandao ya kijamii wengi wetu tutashabikia mijadala inayohusu mapenzi zaid...
kwa wale ambao ni wana jamvi nawasalimu kwanza wakubwa SHIKAMOO na rika langu HABARI YAKO MSOMAJI!.
Ninaomba kwa wale wanaotoa maoni yao au wanaoandika "threads" uzi kwa jina lingine hapa...
Naomba unisikize me mtoto wa mwanamke mwenzio. Nataka ndoa kwako mama wa kijijini/ wa mgombani. Naomba mashemeji mjitokeze ma aunt na wakwe, niko tayari. Ahsante kwa uelewa wako.
ACCOUNTANTS are good with figures.
ACTORS do it on cue.
ADVERTISERS use the "new, improved" method.
AMBULANCE DRIVERS come quicker.
ANSI does it in the standard way
ARCHEOLOGISTS like it...
Waungwana hii winter ya leo na haka kamvua kanakonyesha ni hatari.
Hapa nilipo nimevaa boshori, bonge ya sweta , jinsi , chini nina soksi za sufu yote nikatika kujihami na hii baridi.
Wakubwa,wana chitchat, mwenzenu bado nalia na charminglady .Najua ni mateso kupenda usipopendwa,sina budi kusema hili,kiukweli ninateseka sana tena sana na huyu mlimbwende,naomba mtu ambaye yupo...
Idadi ya makanisa ya upendo hapa nchini yanaendana na ubunifu wa kuweza kuvuta waumini. Nabii na Mtume Mwingira wa Efatha Ministry ni kiboko. Yeye ni zaidi ya Comedian ukifuatilia vipindi vyake...
Ndege ilipita angani.Machizi wakaanza kubishana.wa kwanza akasema, "hiyo ndege imembeba rais!"Wapili akasema, "hapana!hiyo ndege imewabeba wazungu.kama ingekua imembeba Rais,ungeona pikipiki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.