Teacher: how many typ of cofee do we have in Africa
Amigo: two....
Teacher: very god what are they?
Amigo: cof olomide and cof annan...!
Teacher: haaaaa
Ningekuwa nauwezo ningekunywa hata pombe ya banana nipunguze mawazo.maana usiku silali mchana hapatoshi kwa jinsi ninavyomzimikia mlimbwende huyu.nimetongoza weeee lakn ndo kwanza anazidi kutia...
jaman jaman kichwa kimestuck asubuhi hii nataka pika ila sijui nipike nin pilau mekula jana na upolo upo, maharage juz na samaki kitoga sa sielew tupo mtu tatu mim mama na dogo sijui nipike nin...
Hellow wapendwa wangu,Kwa uweza wa mungu nimerudi tena baada ya kutoonekana kwa mda,niliwamiss kupita kiasi!Baba yangu Mtambuzi,Mme wangu kipenzi Rejao,mashem wangu wote,mawifi,maswaiba zangu wote...
Hapa kuna Quize 1 to 5 , atlist ujibu mawili leo na the rest kesho.
Ukiyamaliza yote pia poa.
1. Ikiwa kokote duniani hakuna nchi yenye sheria ya kuruhusu dereva aendeshe chombo akiwa kalewa...
Jamaa mmoja alikuwa anakwenda polini kuchanja kuni mambo yalikuwa hivi
Jamaa; mkewangu niandalie shoka langu
Mama; haya[kaandaa akampatia jamaa kaweka kwenye kikwapa]
Jamaa; akitengeneza ka bangi...
Hizi ni habari nilizozishuhudia jana usiku wa manane wakati watu wote wamelala charminglady alikuwaa bado anasoma kwa makini mistari ya wakati ndio sasa na ilinichukua muda kuamini kama zile...
Jamani msiseme nimekuja Moshi ata siwaambii hali ya hewa.
Huku leo mvua imenyesha nyinhi tu kwa iyo sasaivi kuna kaubaridi mwanana...
Leo nimefika chuo cha ushirika kwa sasa MUCCoBS...
hali zenu wanachitchat, mwenzenu naumwa leo. ni mwezi june tu nimemeza dose ya malaria lakin saiv imerudi. . . naomba kwa wanaofahamu tiba mbadala ya malaria wanijuze make sipendi dawa za...
kuna jamaa anaitwa johnson,anamiliki saa saa ya mkononi,siku moja Hamisi akamwomba ile saa ili aende nayo harusini,kesho yake akawa anarudisha ila kabla ajamkabidhi Johnson,akakutana na Shabani...
Umenikataza nisiwaambie watu lakini nimeshindwa. Navokuona na unavokunywa najua umeumia sana.
Acha wanachitchat wajue umempoteza binamu na rafiki yako sana wa karibu. Kama mimi nimeumia najua...
Chicken Philosophy WHY DID THE CHICKEN CROSS THE ROAD?
* NURSERY TEACHER: To get to the other side.
* PLATO: For the greater good.
* ARISTOTLE: It is the nature of chickens to cross roads...
vilaza: wakizinduka hapo ni ama
wagonge meza au waunge mkono
hoja wasiyoijua sio lazima kuhudhuria vikao kama
hauwezi kuwakilisha waliokutuma.
inawezekana sheria ya kinyonyaji ya
kuhusu mafao...
It is Friday evening natafuta pahala pa kwenda maana sehemu nyingi zimepooza baada ya wenzetu kuwa katika mfungo..
Kwenye home page ya Google kuna game ya penalt shooting...nimedaka zote...hebu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.