JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wanajamvi, siku sio nyingi sana nilikuwa naishi sayari nyingine kwahiyo JF was not in my menu.No sooner nilipokuja JF niliona nilIkuwa nimechelewa,kwa hiyo kuna watu walikuwepo JF MMU hawapo...
6 Reactions
95 Replies
6K Views
Happy birthday Rostam! 2 minutes ago · Silvanus Stemile Nyakunga happy birthday6 minutes ago · Lovelet Lwakatare happy birthday7 minutes ago · Jauria Ally happy birthday.9...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
pin:289EBBEF add meeeeee
0 Reactions
47 Replies
3K Views
Wakulu wasalaam, kama mnavyojua kesho ni sikukuu yetu wakulima. Nyie wafanyakazi kesho eti mtapumzika wakati sie tutaenda shambani kulima kama kawaida......... Very unfair. Kama mjuavyo vijana...
12 Reactions
178 Replies
9K Views
"Habib hasam al masad kul shau mimbari minas salaam." Maneno uloyasoma ni dua ya kuomba makalio yapotee. Ukishasoma kama bado yapo, comment
0 Reactions
0 Replies
985 Views
@aspirin ni babu kijana na mpenda totoz, hivi katika hali ya sasa ilivyongumu kimapenzi,kisiasa ,kiuchumi anawezaje kuwa na wapenzi zaidi ya mmoja na totoz kibao anazifukuzia humu kila kukisha na...
5 Reactions
99 Replies
6K Views
Mama yangu mpenzi gfsonwin! Mimi mwanao mzima kabisa. Kabla ya yote nikuhakikishie mapenzi ya kweli niliyonayo kwako. Hapana mwingine kama mama! Wewe una nafasi ya kwanza moyoni mwangu na hakika...
7 Reactions
63 Replies
6K Views
Kwa wale wenye magari na kwa kawaida hampandi Daladala; Hivi ndivyo viroja tunavyopata kwenye Daladala wenzenu tusio na magari Mlokole: "Nyimbo gani mnapiga?!? Wekeni nyimbo za...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
JF hakika imekuwa ni sehemu muhimu kwangu! Habari, burudani nk nk! Waliofanya watu wasitumie ID za ukweli wameongeza sana uhuru wa watu humu. Hata hivyo kuna watu kadhaa nikigundua kuwa hawapo...
7 Reactions
107 Replies
6K Views
HIVI UNAPOMSALIMIA MTU UNAPATA NINI NA JE? USIPOMSALIMIA MTU UNAKOSA NINI? hii ni kwa wale wanaopendaga kusalimiwa
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Nataka kuielewa hii habari kwa ufasaha zaidi, so nimeandaa igizo fupi na main characters ni Kongosho akiwa kama Manager Public Relations TANESCO na mheshimiwa Bishanga kama kishoka/tapeli wa...
4 Reactions
83 Replies
6K Views
jaman wapendwa wangu hivi juzi juzi email account yangu ilikua na tatizo basi nkajitahd nikafix tatizo nilivoingia mepata notifications nying zikiwemo za jf kwa harakaharaka ,acho yangu yakapita...
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Asubuh mapema na my wife twaelekea 88... Na alivyopendeza huyu Mamito mpaka choon namsindikiza...wale wa zawadi,gift agizen kwangu wanaume,wanawake wamwagize wifi yao.
0 Reactions
31 Replies
2K Views
habari za mapumziko wana chitchat, katka maisha kila mtu huwa ana wishes zake kwenye majina ya wanawe watarajiwa. mf. mie kabla sijapata mtoto nilikuwa napenda jina la Yvonne na Ian, nilisema km...
1 Reactions
60 Replies
5K Views
jaman naombeni mawazo yenu iki kipindi mi nakiona ni one of the good and intertaining mno mi naki feel sana ndo kipo kwa hewa saizi
0 Reactions
5 Replies
780 Views
Khabarini wa JF
0 Reactions
5 Replies
642 Views
Jamaa alikuwa anapita karibu na bar, akaona watu wanapata moja baridi moja moto. Nayeye bila kusita akaagiza aletewe naye bia..akadhani za dezo.. alipomaliza bia ya pili akaona watu wananyanyuka...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ukimpenda mtu, huwezi kujali chochote hata gharama hujali!
0 Reactions
2 Replies
665 Views
Nimekaa gesti tatu tofautitofauti, kila gesti niliyolala nimekutana na mifupa juu ya miimo ya mlango> Nimewauliza wenyeji wangu, mifupa hiyo ni kwa ajili ya nini?? Wamenijibu eti inawafukuza...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Friendship between women: A woman doesn’t come home one night. The next day she tells her husband that she had slept over at a girlfriend's house. The husband calls his wife's 10 best friends...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom